Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Siwezi kuweka mjulusi sehemu ambayo ishafanyiwa marekebisho na tarura saizi nasonga mbele nipate kidemu kimoja kiwe kimekaa kaa kama Seran
Kumbe Seran ni kidemu 😳
Kwani yeye barabara yake wewe ndiyo utakua unaizundua au tofauti yake na mndengereko wako itakua nini?
 
Waliopoa ni wezi wale ujue unatakiwa kua na mwanamke ambaye akikumisi analianzisha tu lakini mpole aah ukijifanya unajisahaulisha tendo nae anakaa kimya kesi utaikuta kwa wazazi
Mbona tupo wapole ambao hatujisahaulishi tendo? enewei kwa amsha amsha basi hapo kwa Seran umefika, hakikisha uchumi wako siyo wa kuunga unga, binti hapendi shida huyo!
 
Unalamba nini kaka 😅 😂
3A5A9771-9B50-4008-83E8-D6FD678218D0.jpeg
🤣
 
Back
Top Bottom