Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Eti unga, nina tender ya kulisha wachawi usiku mimi?😒Anafikiri bado unahitaji kuwekewa unga ndani 😅
Na bando loh! katika kitu siwezi omba ni bando, fiber kibao kila kona nije kuomba bando lol😂