Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Hahahaa tatizo wazee, itabidi awe na mawe ya kutosha wajukuu tujilambelambe,
Sasa mzee anakosaje mawe, tena hawa hawanaga habari za vilaki laki, hata hujaomba utashangaa kamilioni hako kameingia 😂 😂
show tutatafuta hata za nje tu🤭
Kwenye show hapo ndiyo inabidi kuvumilia na kujivika unafiki 😂
 

Attachments

  • Screenshot_20260602_112958.jpg
    Screenshot_20260602_112958.jpg
    42.1 KB · Views: 10
Eti unga, nina tender ya kulisha wachawi usiku mimi?😒

Na bando loh! katika kitu siwezi omba ni bando, fiber kibao kila kona nije kuomba bando lol😂
Huyo hizo levels hata haelewi, keshazoea wanawake wake wa Buza au Mburahati!
 
Sasa mzee anakosaje mawe, tena hawa hawanaga habari za vilaki laki, hata hujaomba utashangaa kamilioni hako kameingia 😂 😂
umenikumbusha kitu 🤣
Anyways napenda haya mambo mwenzio!🤭
Kwenye show hapo ndiyo inabidi kuvumilia na kujivika unafiki 😂
haahahaaa ni mwendo wa ooh daddy, ooh yeaah, fck me harder...ohh pappii... yote yako beb wakati husikii kitu!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom