Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Wala pipi kifua hazibaki zaidi ya kale ka mint kwa mbali! Actually kuna kautaalam kake, sio kusondeka mimate kwa ndani!
Mmmh ngoja niifanyie research, labda na mimi nitamuomba mubaba wangu tujaribu ๐Ÿ˜‚
Na moyoni, nimeona mmoja anawasiwasi takatakata yake imepita na mimi, sijui wananipimaje hawa *******๐Ÿ˜’
Eti takataka yake, daah ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ