Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
StillHv ile mishe bado unaendelea nayo besr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StillHv ile mishe bado unaendelea nayo besr
Kwani unahisi alikudanganya?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Niliwahi kuambiwa"degree is not a skill is just a Manila sheet",Ayubu rioba aibu kwako.
Unaijadili maiti!!??Lazima ajadiliwe tu
Nimecheka kwa sauti,etiNaomba watu wenye ujasiri wa kuitazama TBC wanithibitishie jambo hili , nahitaji kulijua ili nijifunze kitu fulani .
Natanguliza Shukrani .
Chadema mmejiandaa vipi kuchukua kiti
cha uraisi 2025!!??
vipao mbele vyenu ni vipi kwenye sera ya kukuza uchumi!!?
hizi ndio mambo mnatakiwa kujadili acheni hizi cheap politics. Magu ashakuwa nyama ya udongo sshv...
Ubarikiwe sanaBro wacha tuteme nyongo ili roho zetu zitulie. Ila kwa huyu jamaa kama dhambi wacha niipate lkn sio kwa maujinga aliyokua nayo huyu jamaa aisee😀😀😀😀😀
Kuna mtu anaweza kubarikiwa kwa kutukana mwenzie....umelewa nini!?Ubarikiwe sana
Mkataba wa kujenga bandari bagamoyo? Mnatutania nyie na spika wenuitaendelea.
Kumbuka CCM inatekeleza ilani yake kama kawaida kwani ina mkataba na wananchi
Hilo ni JANGA KUBWA la hapo TbcccmAyubu Rioba aondolewe haraka
Kwamba haliwi na FUNZA?Ficha upumbavu wako mkuu.
Uliwaza kuwaza namna hii kuhusu Family ya Azori Gwanda..Simon Kanguye na wengine waliokuwa wanaokotwa kwenye Viroba kule Coco beach au wale hawakuwa na Familia acheni UNAFIKIHivi Watu mbona tunasahaugi mapema,huyu jamaa aliwakosea Nini hata asisamehewe, huyu alikuwa mwanadamu Kama Wewe,kumbuka Kuna mtu amekosa mume,kuna watoto wamekosa baba kuna wajukuu wamekosa Babu na pia wapo ndugu wamekosa ndugu,all in all Mungu umurehemu hayati JPM rest in peace brother, you will be remembered by majority of Tanzanian,forget about the minority
Hasa mkataba wa kupora pesa za watu benk !! Huu ni muhimu sana katika kuleta tija!!!itaendelea.
Kumbuka CCM inatekeleza ilani yake kama kawaida kwani ina mkataba na wananchi
Zama za kijima hazikudumuChadema mmejiandaa vipi kuchukua kiti
cha uraisi 2025!!??
vipao mbele vyenu ni vipi kwenye sera ya kukuza uchumi!!?
hizi ndio mambo mnatakiwa kujadili acheni hizi cheap politics. Magu ashakuwa nyama ya udongo sshv...
Acha tu ndugu yanguLazima ajadiliwe tu
Tutamkumbuka kwa kuturudisha katika ujimaHivi Watu mbona tunasahaugi mapema,huyu jamaa aliwakosea Nini hata asisamehewe, huyu alikuwa mwanadamu Kama Wewe,kumbuka Kuna mtu amekosa mume,kuna watoto wamekosa baba kuna wajukuu wamekosa Babu na pia wapo ndugu wamekosa ndugu,all in all Mungu umurehemu hayati JPM rest in peace brother, you will be remembered by majority of Tanzanian,forget about the minority
Eee bhana Maktaba yako inatisha !Zama za kijima hazikudumuView attachment 1750178
Mzoga...Unaijadili maiti!!??