Vile vipindi vya TUNATEKELEZA vya TBC bado vinaendelea kuoneshwa ?

Nawasalimu kwa jina la JMT.
Niliwahi kuambiwa"degree is not a skill is just a Manila sheet",Ayubu rioba aibu kwako.
 
Chadema mmejiandaa vipi kuchukua kiti
cha uraisi 2025!!??
vipao mbele vyenu ni vipi kwenye sera ya kukuza uchumi!!?
hizi ndio mambo mnatakiwa kujadili acheni hizi cheap politics. Magu ashakuwa nyama ya udongo sshv...

Bro wacha tuteme nyongo ili roho zetu zitulie. Ila kwa huyu jamaa kama dhambi wacha niipate lkn sio kwa maujinga aliyokua nayo huyu jamaa aisee😀😀😀😀😀
 
Bro wacha tuteme nyongo ili roho zetu zitulie. Ila kwa huyu jamaa kama dhambi wacha niipate lkn sio kwa maujinga aliyokua nayo huyu jamaa aisee😀😀😀😀😀
Ubarikiwe sana
 
Uliwaza kuwaza namna hii kuhusu Family ya Azori Gwanda..Simon Kanguye na wengine waliokuwa wanaokotwa kwenye Viroba kule Coco beach au wale hawakuwa na Familia acheni UNAFIKI

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Rioba atolewe haraka aweke salimu kikeke au tido mhando au chales hikar
 
Chadema mmejiandaa vipi kuchukua kiti
cha uraisi 2025!!??
vipao mbele vyenu ni vipi kwenye sera ya kukuza uchumi!!?
hizi ndio mambo mnatakiwa kujadili acheni hizi cheap politics. Magu ashakuwa nyama ya udongo sshv...
Zama za kijima hazikudumu
 
Tutamkumbuka kwa kuturudisha katika ujima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…