Vile vipindi vya TUNATEKELEZA vya TBC bado vinaendelea kuoneshwa ?

Unawakosea funza heshima mkuu!
Funza hawali vitu vya hovyo hovyo!
Meko hajaoza mpaka sasa ujue, wadudu wanapita pembeni wanatema mate wanaondoka

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤔🤔😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Daaaaaaaahhh!!!!!!!!!!

Umeua mzeee hapo sinenoki kabisa yaan😂😂😂😂😂😂😂🏠
 
Hivi kama Magufuli aliyekuwa anawapa hela alishindwa kummaliza Mbowe unadhani wewe masikini mnuka jasho ndio utaweza kumchafua ?
 
Naomba watu wenye ujasiri wa kuitazama TBC wanithibitishie jambo hili , nahitaji kulijua ili nijifunze kitu fulani .

Natanguliza Shukrani .

Naomba watu wenye ujasiri wa kuitazama TBC wanithibitishie jambo hili , nahitaji kulijua ili nijifunze kitu fulani .

Natanguliza Shukrani .

Nimepedna hapo uliposema wenye ujasiri................... mimi nilipata huo ujasiri ile tar 22 .03 na 26.03 tena kwa muda mchache sana. Siwahai kuwa na huo ujasiri tena kamwe
 
Cheki bumunda la lumumba hili, mume wenu limekufa mzoga, mmebaki wajane
Tutusa kweli hili....mnabumuliwa tu minyumbu haya mguu upande rudi nyuma....ukikutana na kitu chenye ncha kali usiulize....ujue ni mwenyekigoda anatabaruk
 
Naomba watu wenye ujasiri wa kuitazama TBC wanithibitishie jambo hili , nahitaji kulijua ili nijifunze kitu fulani .

Natanguliza Shukrani .
Jana tarehe 15.04.2021 kilikuwepo hewani. Walikuwa wanaangalia utekelezaji wa TARURA wakiwa na Mtendaji Mkuu wa TARURA, Victor Seff, anasema mafanikio yao makubwa ni kujenga barabara za mji wa Serikali Mtumba na barabara za Dar (Temeke na Kinondoni) kwa mradi wa DMDP.

NB: kifurushi cha DSTV kikikata, TBC ndio tv station pekee inayoendelea kuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…