Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Wale wote wanatakiwa kuondolewa mtaani hakuna sheria inayoruhusu madanguro kwenye maeneo yenye makazi ya watu ,ndio maana doria za mara kwa mara huwa wanakamatwanani kasema anahitaji kuwaondoa? mbona unasingizia uwongo?
Haha hayo mahitaji sio salama na ni hatari kwa afya ya kijana ndio maana ninayapinga kwa nguvu zoteMahitaji muhimu sana hayo..... Yapo tangu enzi za kale.... Kuna watu wanahitaji kumwaga oil tu na kuendelea na safari.
Bongo umalaya umezidi na umekua kama kawaida mpk inakua kero mfanoHii vita huiwezi,malaya wapo hadi saudiarabia
Nawaonea huruma mnaoenda kwenye vile vyumba vyao ,vidogo sana halafu pia naona kama wale watu wana maradhi wanahitaji ushauri wa saikolojiaUnawaonea wivu?
Kama kuna sheria za nchi zilizovunjwa peleka shauri mahakamani, simple and straightforward.Salama wakuu
Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke sokota,buguruni Rozana ,kigamboni polisi karibu shule ya makonda na mbezi mwisho magufuli stendi karibu na baa ya rugumbashi mikoa mingine hivyohvyo zipo sehemu kama hizo
Sasa polisi wanadai huwa wanafanya doria na kuwakamata lakini badae wanawaachia nilisikiaga wanachanga pesa nyingi wanampa mkuu wa kituo na majina yao kwa hiyo anawalinda kuwakamata inakua geresha tu maana kila mwezi wanapeleka mzigo wa maana kama 5m sasa sijajua ukweli wa jambo hili.
Anyway ,swali langu la msingi kama tunahitaji kuwaondoa kwa nini hatubomoi vyumba vyao? Na nani ana mamlaka ya kujenga vyumba vile katikati ya jiji vikiwa vimerundika hivyo ? Nani anawapa kibali cha ujenzi na wanajenga makazi ya watu au nini?
Lakini najua kuna watetezi wao humu ndani basi watengewe maeneo maalumu ya mahoteli ili wasizagae mitaani na kuendelea kuharibu maadili ,maana unakuta wapo kwenye njia na wanafunzi wa shule wanapita na watoto huku mikao na mavazi yao yakiwa yanahamasisha ngono.
Nawasilisha.
Gentleman,Lucas Mwashambwa aliposikia NIDA kabadilisha ID kuhusu nyumba za wageni sasa kawa TlaatlaahView attachment 3621893
Ww ndo unahitaj ushaur wa kisaikolojiaNawaonea huruma mnaoenda kwenye vile vyumba vyao ,vidogo sana halafu pia naona kama wale watu wana maradhi wanahitaji ushauri wa saikolojia
Nyingi zilishabomolewa...hata hiyo Mwananyamala ni magofu yamebaki tu pale na mateja na wezi...hawaruhusiwi kujenga tena...zimebaki maeneo machache sana..Salama wakuu
Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke sokota,buguruni Rozana ,kigamboni polisi karibu shule ya makonda na mbezi mwisho magufuli stendi karibu na baa ya rugumbashi mikoa mingine hivyohvyo zipo sehemu kama hizo
Sasa polisi wanadai huwa wanafanya doria na kuwakamata lakini badae wanawaachia nilisikiaga wanachanga pesa nyingi wanampa mkuu wa kituo na majina yao kwa hiyo anawalinda kuwakamata inakua geresha tu maana kila mwezi wanapeleka mzigo wa maana kama 5m sasa sijajua ukweli wa jambo hili.
Anyway ,swali langu la msingi kama tunahitaji kuwaondoa kwa nini hatubomoi vyumba vyao? Na nani ana mamlaka ya kujenga vyumba vile katikati ya jiji vikiwa vimerundika hivyo ? Nani anawapa kibali cha ujenzi na wanajenga makazi ya watu au nini?
Lakini najua kuna watetezi wao humu ndani basi watengewe maeneo maalumu ya mahoteli ili wasizagae mitaani na kuendelea kuharibu maadili ,maana unakuta wapo kwenye njia na wanafunzi wa shule wanapita na watoto huku mikao na mavazi yao yakiwa yanahamasisha ngono.
Nawasilisha.
Hawatoi mapenzi ni hudumanilipata mmoja kati yao akanipeleka kweny chumba kama selo kigodoro kimeisha na kuchakaa. kwakua nilikua nimeshawaka naitaj huduma nitoke nikavua nguo zote ili nimtungue vizur alitamka neno moja tu na ugwadu ukakata. UNAVUA NGUO ZOTE KWANI HAPA NI KWAKO?
Hahaa ko wameachwa makusudiHoja yako haina mashiko. Hao wanasaidia kupunguza visa vya Ubakaji mitaani. Pia wanawasaidia wanaume ambao hawataki kuwa na demu wa kumsumbua Kila mara Kwa kupigwa vizinga.