Vile vyumba vya dada poa kwenye majiji nani anavimiliki kwanini havibomolewi?

Nyingi zilishabomolewa...hata hiyo Mwananyamala ni magofu yamebaki tu pale na mateja na wezi...hawaruhusiwi kujenga tena...zimebaki maeneo machache sana..
Mwananyama mtaa wa wahaya pale wabomoe,mbezi mwisho wabomoe, na maeneo mengine yote wabaki wa mtandaoni na kwenye hoteli
 
Alikuona mshamba na haujamvutia

Sio kuvua tu km hajakuelewa hata maziwa na matako marufuku kumshika au kumgusa wewe utaishia kuchomeka ukojoe tu maana hapo ndipo ulipolipia

Ila akikuelewa atakuvulia nguo zote na utabinya binya kila unapopataka na ukigonga sana utaona utofauti anaokuonyesha utamgonga km unamgonga demu wako sio km malaya na ushirikiano wa kutosha

Umenikumbusha -Mama Jafari, niligonga mpaka nikavunja mlango na kubomoa kitasa
 
Hivi ikitokea ukaambiwa kodi na ushuru unakusanywa kutokaamo utashangaa?
 
Hivi ikitokea ukaambiwa kodi na ushuru unakusanywa kutokaamo utashangaa?
Makusanyo ya kodi na ushuru ndo hutumika kulipa mishahara na Huduma za Kijamii. Hapo nadhani atashangaa zaidi au kuzimia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…