Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

Harufu inatokana na kuvuka kipimo.. Ukinywa kidogo huwezi kutoa harufu.... Jaribu na Valuer Brandy...
 
Zamani tulikua tunakunywa machozi ya simba, hayana harufu.. Kajaribu tuone
 
kama una usafiri, hakikisha unatembea na mswaki na dawa yake. Baada ya kupiga mambo yako, piga mswaki. Lakini kanunua gums ambazo ni mint na sugarless.
 
Hiyo harufu ndio imenifanya hadi leo sinywi pombe [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Windhoek beer
 
k vant.hizzo zengine utashitukiwa
 
Konyagi nzuri ukichanganya na vitu flan flan hivi pamoja na limao, Huwi kero kwa wengine....

"Utumiaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, tafadhali kunywa kistaarabu"
 
Tumia NZAGAMBA au TINGISHA ziko vizuri sana bei chee 500 tu hunyanyuki na hutopata harufu hizo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…