DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Pande zip bossKaribu tujumuike pamoja
Ipo kusini mwa tz mkuuHiyo ni mpya au vipi
Kwema wakuu
Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..
Nikaamia kwenye nyagi nako ni vile vile mtu akiwa karibu yako harufu yote anaipata ya nyagi
Nikaona isiwe ishu ngoja niweke kambi kwenye dompo huko ndo hapafai kabisa harufu inatema sana..
Niko katika jamii ambayo hawatumii vilevyi vya aina yoyote ile hivyo nataka nisiwe tabu kwa watu wengine
Naomba kujuzwa ni kilevi gani naweza kutumia bila harufu yake kubaki kinywani...
Nawasilisha kwenu wakuu wenu mtiifu katika ujenzi wa viwanda
Tena hii ndo ina harufu mbaya hatarPata Smirnoff Black ice.
Ila mdogo mdogo... Ni tamu so unaweza kufakamia mwisho wa siku ukaita maji - 'mma'
Kutikunywa Pombe ni za Nchi gani?
Kwa sababu zinatengenezwa ili tunyweWe kwa nn unakunya?
Duh..ushauri kama nguvu za gizaKula kitu mtoto wa kihindi aka ngada(iwe kusniff au kujidunga yote mwake tu).... bange ni poa pia ina kaharufu flan amaizing wanaweza wasikustukie wakijua majan nje yanaungua... so, these two ni best, hutakua na harufu mdomoni braza.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Kipindi nafanya kazi kwa waarabu nilipata shida sana badala ya kununua mahitaji ya ndani Mimi nilikua nanunua ndizi mbivu chane nzima kila siku yenye ratiba ya tungi! Nikirudi usiku kabla sijalala nakula na maji kama Lita moja na asubuhi the same applied, nikifika ofisini hata anisogelee vipi hasikii harufu yeyote labda macho mekundu tu kwa mbaali.
Sio kweli. FafanuaTena hii ndo ina harufu mbaya hatar
harufu haitoki kinywan, bali tumbon, ukicheua hiyookama una usafiri, hakikisha unatembea na mswaki na dawa yake. Baada ya kupiga mambo yako, piga mswaki. Lakini kanunua gums ambazo ni mint na sugarless.
Papuchi.Kwema wakuu