Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

Kula kitu mtoto wa kihindi aka ngada(iwe kusniff au kujidunga yote mwake tu).... bange ni poa pia ina kaharufu flan amaizing wanaweza wasikustukie wakijua majan nje yanaungua... so, these two ni best, hutakua na harufu mdomoni braza.
 
Kipindi nafanya kazi kwa waarabu nilipata shida sana badala ya kununua mahitaji ya ndani Mimi nilikua nanunua ndizi mbivu chane nzima kila siku yenye ratiba ya tungi! Nikirudi usiku kabla sijalala nakula na maji kama Lita moja na asubuhi the same applied, nikifika ofisini hata anisogelee vipi hasikii harufu yeyote labda macho mekundu tu kwa mbaali.
 
Kwema wakuu

Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..

Nikaamia kwenye nyagi nako ni vile vile mtu akiwa karibu yako harufu yote anaipata ya nyagi

Nikaona isiwe ishu ngoja niweke kambi kwenye dompo huko ndo hapafai kabisa harufu inatema sana..

Niko katika jamii ambayo hawatumii vilevyi vya aina yoyote ile hivyo nataka nisiwe tabu kwa watu wengine

Naomba kujuzwa ni kilevi gani naweza kutumia bila harufu yake kubaki kinywani...

Nawasilisha kwenu wakuu wenu mtiifu katika ujenzi wa viwanda

Kunywa valuu mkuu
 
Duh..ushauri kama nguvu za giza
 
Kipindi nafanya kazi kwa waarabu nilipata shida sana badala ya kununua mahitaji ya ndani Mimi nilikua nanunua ndizi mbivu chane nzima kila siku yenye ratiba ya tungi! Nikirudi usiku kabla sijalala nakula na maji kama Lita moja na asubuhi the same applied, nikifika ofisini hata anisogelee vipi hasikii harufu yeyote labda macho mekundu tu kwa mbaali.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Hitimisho la mjadala huu nilivyoanza kusoma msg zote nimegundua yafuatayo
Moja hakuna kilevi kisichotoa harufu
Pili ili kukata harufu inabidi mywaji atafute ndizi za kuiva azile mala baada tu ya kusukutua kichwa chake
Asanteni kwa elimu hii
 
Kwema wakuu

Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..

Nikaamia kwenye nyagi nako ni vile vile mtu akiwa karibu yako harufu yote anaipata ya nyagi

Nikaona isiwe ishu ngoja niweke kambi kwenye dompo huko ndo hapafai kabisa harufu inatema sana..

Niko katika jamii ambayo hawatumii vilevyi vya aina yoyote ile hivyo nataka nisiwe tabu kwa watu wengine

Naomba kujuzwa ni kilevi gani naweza kutumia bila harufu yake kubaki kinywani...

Nawasilisha kwenu wakuu wenu mtiifu katika ujenzi wa viwanda
Papuchi.
 
Back
Top Bottom