Vilinge vilivyothibitishwa maeneo mbalimbali nchini

Vilinge vilivyothibitishwa maeneo mbalimbali nchini

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta.

Naomba nimpe pasi honorable Dr Mshana Jr awezeku-share nasi vilinge mbali mbali anavyovifahamu kutoka katika kila kanda, mkoa, wilaya ya nchi bila kusahau jina na kijiji.

UPDATES KUTOKA MALEGENDARI

01. Kwansisi Handeni Tanga
02. Mapango ya Amboni Tanga
03. Majani mapana Tanga
04. Ludewa njombe vijiji vya Mundende, ibumi, ludende au nenda sehemu inaitwa JIWE LIGANGA

05. Kiwila, ngosi ziwani
06. Mwamboni Tanga
07. Vudee Same
08. Tukuyu Ushirika kijiji cha Utete ( nasikia mtaalam wa hapa ni tapeli)
09. Weruweru... Hai Kilimanjaro
10. Chitipa, mpakani mwa Ileje na Malawi na Zambia.

11. Mwandoya Bariadi - nasikia mpaka helicopters zikiwa na waheshimiwa uwa zinatua huku

12. Liwale, kuna kijiji kinaitwa Ngende.

13. simiyu Longa Lombogo
14. Kijiji cha Ikungulyabashashi kipo bariadi unashukia senta ya nyakabindi
15.Tanga mazinde kuna sehemu wanaita TORONTO ulizia mafundi.


Nitaendelea kuongeza kadili vilinge vinavyozidi kutambulishwa wachangiaji.

Na wewe unaefahamu machaka yanayotoa huduma zilizonyooka unakaribishwa pia kuchangia.

Mimi nimekaa pale nachukua notisi.
 
Unataka kutatua shida zako kwa kutumia njia za shetani, unajua gharama zake? Mshana kasha okoka siku hizi hakuona faida ya ushirikina.

Unaona shida gani kuzitaja shida zako kwa majina yake na kuziamuru ziondoke kwa JIna la Yesu jina lipitalo majina yote?

Kwa Jina la Yesu ninaharibu nguvu zote za kichawi katika maisha yangu...., Kwa Jina la Yesu ninawafunga wachawi wote wanaoharibu uchumi wangu. Roho za chumaulete, magonjwa, nuksi, mikosi, kimavi, ninakuamuru toka katika biashara zangu kwa Jina la Yesu.

Naachilia Damu ya Yesu kwenye nyumba yangu, ofisi yangu, kazi yangu, masomo yangu, kufukuza pepo wote wachafu kwa Jina la Yesu.

Chochote utakacho kufanya, fanya kwa JINA LA YESU, utaniambia. Jiweke mikononi mwa Yesu, au weka biashara, kazi, etc mikononi mwa Yesu, jifunike kwa Damu ya Yesu wewe na chochote utakacho.

Vunja nguvu za giza kwa Jina la Yesu, etc. Anza leo, nishirikishe mikasa yako na tuangalie hadi Jumamosi mambo yatakuwa vipi. Kwa waganga unakwenda kuchota majini tele na matatizo makubwa zaidi, nakuhakikishia.
 
Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta...
ukianza hii kitu, shetani anakuwa anakulia timing, ni muda atakumaliza. ni urafiki wa mashaka

unaweza kuonekana unafanikiwa,lakini mwisho wako atakumaliza

shetani ana maslahi yake
 
Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta...
Namba MOJA Kwansisi Handeni Tanga.

Mamba 2 Mapango ya Amboni Tanga.

Mamba 3 Majani mapana Tanga.

... Nitaendelea na cya Upareni
 
Back
Top Bottom