Vilinge vilivyothibitishwa maeneo mbalimbali nchini

 
Mundende,ibumi,ludende au nenda sehemu inaitwa JIWE LIGANGA(hapa liganga,mkoroni alifichaga mali lakini aliporudi kuzichukua akarogwa na hazijawahi tolewa)
Hivi kumbe mali zikifichwa kichawi ni ngumu kuzitoa/kuziona? JE nikileta greda litifue ardhi haziwezi onekana? Au hii sayansi imekaaje?
 
Hivi kumbe mali zikifichwa kichawi ni ngumu kuzitoa/kuziona? JE nikileta greda litifue ardhi haziwezi onekana? Au hii sayansi imekaaje?
Hata zile story za kaburi katikati ya barabara(iringa) ni kweli...na ukitaka uhakika waulize TANROAD
 
Hata zile story za kaburi katikati ya barabara(iringa) ni kweli...na ukitaka uhakika waulize TANROAD
Lile kaburi nalijua maana lipo karibu na kijiji chetu cha njia panda ya mlolo ni dakika 15 tu toka kijijin na lile kabuli maana yule mzee ni wa maeneo yale.
 
Walokole mnatakiwa kuvijua hivi Vilinge! Hivi ni Viti vya Enzi vya SHETANI! Na mnatakiwa kuvibomoa katika maombi!
 
Bora umetoa shot out kwa wakubwa zako.

Nasikiaga majina kama wakinga, wasambaa and the like eti.

In short shukuruni tu wasukuma hatunaga roho mbaya kama wachaga.
 
Sumbawanga siioni hapo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mngekua mnasema na hivo vilinge ni vizuri kwenye nini....nsijeenda huko malawi kumbe kilinge cha pesa mie napeleka mapenzi mganga akaniona falah
 
Milima ya ukinga huko makete umeshawahi kuisikia? Hao wanaotaka kusaidika wanaweza kula maini mabichi yanayovuja damu?,wanauwezo wa kuamka kila siku saa nane kuviachia vitu vikasafishe njia?
Acha kutuchafua huo ni uongo 🤣🤣🤣
 
Hapo WeruWeru mchagga na hizo vitu hamna kitu mkuu ni kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…