Villa zinauzwa Oyster bay zipo 6 zina vyumba 3, eneo square meter 2900 kwa bei ya Dolla Milioni 6.5

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
Villar zinauzwa, Zipo sita, zote zina vyumba vitatu.

Eneo: Sqmt 2900
Bei: USD million 6.5
Negotiable

Location: Oyster Bay

🇹🇿 Call/WhatsApp: +255758844717

VILLAR ZINAUZWA
ZIPO SITA
ZOTE ZINA VYUMBA VITATU
VITATU “

ENEO SQMT (2900)”
BEI USD MILLION (6.5)”
NEGOSHABLE “

LOCATION
AT OSYSTER BAY””

🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717

##houseforsale #realestate #viralvideo #tanzania #daressalaam🇹🇿
Muwe mnafanya tafiti kabla ya kutoa bei zenu, Kwa bei hii Marekani unapata nyumba 6 za ghorofa ya floor mbili tena za kifahari ambazo kila nyumba Moja Ina vyumba 4.

Na unapewa na uraia kabisa.

Sasa si mara mia Kwa bei yako niende USA tu.
 
kwahiyo ukitaja usd unaonekana mjanja eti
 
Muwe mnafanya tafiti kabla ya kutoa bei zenu, Kwa bei hii Marekani unapata nyumba 6 za ghorofa ya floor mbili tena za kifahari ambazo kila nyumba Moja Ina vyumba 4.

Na unapewa na uraia kabisa.

Sasa si mara mia Kwa bei yako niende USA tu.
Unaomuonea tu, hapo labda ungelalamikia bei upunguziwe. Sababu za ununuzi wa nyumba huwa unatofautiana. Kwa mfano hizo nyumba sita unazinunua wapi Marekani ambazo zipo kwenye square 2900 na kwa gharama ya Usd.6.5 million kama unataka kufanya biashara, na ukakatwa 0.20% kodi kama Tanzania.
 
Chicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.

Kwa kifupi nyumba za Tanzania madalali wanazi-over rate sana, Kwa sababu idara ya udalali imevamiwa na watu wasio na exposure. Na wanapata wateja wezi na mafisadi wenye lengo la kutakatisha fedha zao.

Hii hali inaumiza sana wale wateja genuine wenye pesa za kihalali. Imagine nyumba ya thamani halisi ya sh mil 50 inawekwa sokoni Kwa sh mil 120!
Not fair ata kama soko ni la ulia.
 
Huko goba na madale ndo vituko! Nyumba ya 250m zinauzwa 600m
 
Chicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.

Kwa kifupi nyumba za Tanzania madalali wanazi-over rate sana, Kwa sababu idara ya udalali imevamiwa na watu wasio na exposure. Na wanapata wateja wezi na mafisadi wenye lengo la kutakatisha fedha zao.

Hii hali inaumiza sana wale wateja genuine wenye pesa za kihalali. Imagine nyumba ya thamani halisi ya sh mil 50 inawekwa sokoni Kwa sh mil 120!
Not fair ata kama soko ni la ulia.
Nafikiri kwenye hili ni kujadili kwa concept ya Tanzania. Hata US Serikali haipangi bei za nyumba. Kwa Tanzania mnunuzi au muuzaji anaweza kumshirikisha Valuer akafanya valuation/appraisal ingawa sidhani kama wengi huwatumia hao. Mara nyingi kama Mtu ananunua maana yake ameona thamani yake na wengi hufanya uwekezaji kwenye sekta ya hospitality.

Kwa concept ya Tanzania hata tukiilazimisha ifanane na Marekani, jibu litakuja Oysterbayni New York posh area yetu. Kwa lugha rahisi Dodoma ndiyo Washngton yetu.

Square metre 2900 (kama ni kweli) na mwekezaji akiamua robo tatu ya eneo akajenga ghorofa yenye appartments 30 zenye vyumba viwili viwili, living room etc, kwa miaka mitano tu anarudisha fedha aliyowekekeza. Kwa hali hiyo, hakuna mmiliki wa ardhi atakubali kuuza square metre 2900 chini ya Usd 2mil.

Suala la money laundry lipo lakini ukweli pia upo, kama ambavyo mfanyabiashara Kariakoo ananunua 'mbavu za mbwa' square metre 400 kwa bilioni mbili!
 
😹😹😹 kumekucha RRONDO
Watu wana hasira sana! Sasa hio nyumba huko USA kwa $400,000 ipo Oysterbay ya Marekani? Yaani ipo eneo ambalo matajiri na viongozi wa Marekani wanaishi? Hapa sifananishi uzuri wa Oysterbay ya Marekani na Obay yetu. Huwezi kulinganisha bei ya maeneo ya kawaida ya USA au UK na maeneo ya Masaki au Oysterbay ambapo ndio sehemu ya hadhi ya juu hapa Tz. London kuna apartments ndogo tu zinauzwa zaidi ya £20m na London hapo hapo kuna majumba makubwa tu tena ushuani yanauzwa £5-10m. Bei linategemea soko. Tz kuna uha a wa nyumba na maeneo mazuri.
 
VILLAR ZINAUZWA
ZIPO SITA
ZOTE ZINA VYUMBA VITATU
VITATU “

ENEO SQMT (2900)”
BEI USD MILLION (6.5)”
NEGOSHABLE “

LOCATION
AT OSYSTER BAY””

🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717

##houseforsale #realestate #viralvideo #tanzania #daressalaam🇹🇿
Mbona bei rahisi hivyo. Nakuja faster kuzinunua. Mkuu pia unaweza kunitafutia zingine saba kama hizo maeneo hayohayo ya Oysterbay.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
 
Leo nikiwa mtaani na kamini cooper kangu,ghafla mlio mkali wa horn.kugeuza shingo naiona ist inaniwashia taa.Matusi niliyomtukana hatorudia tena ujinga wake.
 
Watu wana hasira sana! Sasa hio nyumba huko USA kwa $400,000 ipo Oysterbay ya Marekani? Yaani ipo eneo ambalo matajiri na viongozi wa Marekani wanaishi? Hapa sifananishi uzuri wa Oysterbay ya Marekani na Obay yetu. Huwezi kulinganisha bei ya maeneo ya kawaida ya USA au UK na maeneo ya Masaki au Oysterbay ambapo ndio sehemu ya hadhi ya juu hapa Tz. London kuna apartments ndogo tu zinauzwa zaidi ya £20m na London hapo hapo kuna majumba makubwa tu tena ushuani yanauzwa £5-10m. Bei linategemea soko. Tz kuna uha a wa nyumba na maeneo mazuri.
GT kwa hiyo bei 6.5 7 usd unanunua villa saba kwenye mtaa wa kishua affluent neighbourhood Dubei Nad Al sheba 3.
images.jpeg

Godman Autodidact The Dojin Mwalimu wa tuisheni
 
Chicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.

Kwa kifupi nyumba za Tanzania madalali wanazi-over rate sana, Kwa sababu idara ya udalali imevamiwa na watu wasio na exposure. Na wanapata wateja wezi na mafisadi wenye lengo la kutakatisha fedha zao.

Hii hali inaumiza sana wale wateja genuine wenye pesa za kihalali. Imagine nyumba ya thamani halisi ya sh mil 50 inawekwa sokoni Kwa sh mil 120!
Not fair ata kama soko ni la ulia.
Umegonga penyewe. Soko la real estate Tanzania tangu Samia aingie linatumika kutakatisha fedha chafu za watawala, wanazopiga serikalini. Hivyo basi bei nyingi ziko overrated na hawa madalali wanaongeza ''cha juu'' tena kiasi kikubwa tu.
 
Back
Top Bottom