Watu wana hasira sana! Sasa hio nyumba huko USA kwa $400,000 ipo Oysterbay ya Marekani? Yaani ipo eneo ambalo matajiri na viongozi wa Marekani wanaishi? Hapa sifananishi uzuri wa Oysterbay ya Marekani na Obay yetu. Huwezi kulinganisha bei ya maeneo ya kawaida ya USA au UK na maeneo ya Masaki au Oysterbay ambapo ndio sehemu ya hadhi ya juu hapa Tz. London kuna apartments ndogo tu zinauzwa zaidi ya £20m na London hapo hapo kuna majumba makubwa tu tena ushuani yanauzwa £5-10m. Bei linategemea soko. Tz kuna uha a wa nyumba na maeneo mazuri.