Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Muwe mnafanya tafiti kabla ya kutoa bei zenu, Kwa bei hii Marekani unapata nyumba 6 za ghorofa ya floor mbili tena za kifahari ambazo kila nyumba Moja Ina vyumba 4.VILLAR ZINAUZWA
ZIPO SITA
ZOTE ZINA VYUMBA VITATU
VITATU “
ENEO SQMT (2900)”
BEI USD MILLION (6.5)”
NEGOSHABLE “
LOCATION
AT OSYSTER BAY””
🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717
##houseforsale #realestate #viralvideo #tanzania #daressalaam🇹🇿
kwahiyo ukitaja usd unaonekana mjanja etiVILLAR ZINAUZWA
ZIPO SITA
ZOTE ZINA VYUMBA VITATU
VITATU “
ENEO SQMT (2900)”
BEI USD MILLION (6.5)”
NEGOSHABLE “
LOCATION
AT OSYSTER BAY””
🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717
##houseforsale #realestate #viralvideo #tanzania #daressalaam🇹🇿
😹😹😹 kumekucha RRONDOMuwe mnafanya tafiti kabla ya kutoa bei zenu, Kwa bei hii Marekani unapata nyumba 6 za ghorofa ya floor mbili tena za kifahari ambazo kila nyumba Moja Ina vyumba 4.
Na unapewa na uraia kabisa.
Sasa si mara mia Kwa bei yako niende USA tu.
Unaomuonea tu, hapo labda ungelalamikia bei upunguziwe. Sababu za ununuzi wa nyumba huwa unatofautiana. Kwa mfano hizo nyumba sita unazinunua wapi Marekani ambazo zipo kwenye square 2900 na kwa gharama ya Usd.6.5 million kama unataka kufanya biashara, na ukakatwa 0.20% kodi kama Tanzania.Muwe mnafanya tafiti kabla ya kutoa bei zenu, Kwa bei hii Marekani unapata nyumba 6 za ghorofa ya floor mbili tena za kifahari ambazo kila nyumba Moja Ina vyumba 4.
Na unapewa na uraia kabisa.
Sasa si mara mia Kwa bei yako niende USA tu.
Chicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.Unaomuonea tu, hapo labda ungelalamikia bei upunguziwe. Sababu za ununuzi wa nyumba huwa unatofautiana. Kwa mfano hizo nyumba sita unazinunua wapi Marekani ambazo zipo kwenye square 2900 na kwa gharama ya Usd.6.5 million kama unataka kufanya biashara, na ukakatwa 0.20% kodi kama Tanzania.
Huko goba na madale ndo vituko! Nyumba ya 250m zinauzwa 600mChicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.
Kwa kifupi nyumba za Tanzania madalali wanazi-over rate sana, Kwa sababu idara ya udalali imevamiwa na watu wasio na exposure. Na wanapata wateja wezi na mafisadi wenye lengo la kutakatisha fedha zao.
Hii hali inaumiza sana wale wateja genuine wenye pesa za kihalali. Imagine nyumba ya thamani halisi ya sh mil 50 inawekwa sokoni Kwa sh mil 120!
Not fair ata kama soko ni la ulia.
Nafikiri kwenye hili ni kujadili kwa concept ya Tanzania. Hata US Serikali haipangi bei za nyumba. Kwa Tanzania mnunuzi au muuzaji anaweza kumshirikisha Valuer akafanya valuation/appraisal ingawa sidhani kama wengi huwatumia hao. Mara nyingi kama Mtu ananunua maana yake ameona thamani yake na wengi hufanya uwekezaji kwenye sekta ya hospitality.Chicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.
Kwa kifupi nyumba za Tanzania madalali wanazi-over rate sana, Kwa sababu idara ya udalali imevamiwa na watu wasio na exposure. Na wanapata wateja wezi na mafisadi wenye lengo la kutakatisha fedha zao.
Hii hali inaumiza sana wale wateja genuine wenye pesa za kihalali. Imagine nyumba ya thamani halisi ya sh mil 50 inawekwa sokoni Kwa sh mil 120!
Not fair ata kama soko ni la ulia.
Watu wana hasira sana! Sasa hio nyumba huko USA kwa $400,000 ipo Oysterbay ya Marekani? Yaani ipo eneo ambalo matajiri na viongozi wa Marekani wanaishi? Hapa sifananishi uzuri wa Oysterbay ya Marekani na Obay yetu. Huwezi kulinganisha bei ya maeneo ya kawaida ya USA au UK na maeneo ya Masaki au Oysterbay ambapo ndio sehemu ya hadhi ya juu hapa Tz. London kuna apartments ndogo tu zinauzwa zaidi ya £20m na London hapo hapo kuna majumba makubwa tu tena ushuani yanauzwa £5-10m. Bei linategemea soko. Tz kuna uha a wa nyumba na maeneo mazuri.😹😹😹 kumekucha RRONDO
Mbona bei rahisi hivyo. Nakuja faster kuzinunua. Mkuu pia unaweza kunitafutia zingine saba kama hizo maeneo hayohayo ya Oysterbay.VILLAR ZINAUZWA
ZIPO SITA
ZOTE ZINA VYUMBA VITATU
VITATU “
ENEO SQMT (2900)”
BEI USD MILLION (6.5)”
NEGOSHABLE “
LOCATION
AT OSYSTER BAY””
🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717
##houseforsale #realestate #viralvideo #tanzania #daressalaam🇹🇿
GT kwa hiyo bei 6.5 7 usd unanunua villa saba kwenye mtaa wa kishua affluent neighbourhood Dubei Nad Al sheba 3.Watu wana hasira sana! Sasa hio nyumba huko USA kwa $400,000 ipo Oysterbay ya Marekani? Yaani ipo eneo ambalo matajiri na viongozi wa Marekani wanaishi? Hapa sifananishi uzuri wa Oysterbay ya Marekani na Obay yetu. Huwezi kulinganisha bei ya maeneo ya kawaida ya USA au UK na maeneo ya Masaki au Oysterbay ambapo ndio sehemu ya hadhi ya juu hapa Tz. London kuna apartments ndogo tu zinauzwa zaidi ya £20m na London hapo hapo kuna majumba makubwa tu tena ushuani yanauzwa £5-10m. Bei linategemea soko. Tz kuna uha a wa nyumba na maeneo mazuri.
Mia tisa itapendezaMbona bei rahisi hivyo. Nakuja faster kuzinunua. Mkuu pia unaweza kunitafutia zingine saba kama hizo maeneo hayohayo ya Oysterbay.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
Umegonga penyewe. Soko la real estate Tanzania tangu Samia aingie linatumika kutakatisha fedha chafu za watawala, wanazopiga serikalini. Hivyo basi bei nyingi ziko overrated na hawa madalali wanaongeza ''cha juu'' tena kiasi kikubwa tu.Chicago, Alabama, Indianapolis uko kote unapata nyumba ya sqm 3,000 Kwa bei ya dola 400,000 tu sawa na tshs 1 bilioni approximately.
Kwa kifupi nyumba za Tanzania madalali wanazi-over rate sana, Kwa sababu idara ya udalali imevamiwa na watu wasio na exposure. Na wanapata wateja wezi na mafisadi wenye lengo la kutakatisha fedha zao.
Hii hali inaumiza sana wale wateja genuine wenye pesa za kihalali. Imagine nyumba ya thamani halisi ya sh mil 50 inawekwa sokoni Kwa sh mil 120!
Not fair ata kama soko ni la ulia.