Mtaa wa kishua una vijumba vimebanana hivyo? Huo ni mtaa wa middle class kawaida tu. BTW hio 6m dollars hapo linauzwa eneo na real estate developer hapo anajenga 5 or more apartments block each with at least 20 apartments. Sasa chukua idadi ya apartments gawanya kwa hio $6m ndio utajua eneo kalipata kwa bei chee. Apartment moja sio chini ya $200,000.GT kwa hiyo bei 6.5 7 usd unanunua villa saba kwenye mtaa wa kishua affluent neighbourhood Dubei Nad Al sheba 3.
View attachment 3680475
Godman Autodidact The Dojin Mwalimu wa tuisheni
Kuna kabibi flani hapa kananipenda balaa ana hela ndefu yani niko radhi kumroga. Kuna uwezekano anaweza kunitoa. Na ikitokea hivyo vishindo vyake mtaviona tu hapo Dar na Dubei. Kwasababu nitakuwa topic. Yani itakuwa fujo na jeuri ya pesa ya aina yake haijawahi kutokea..Mtaa wa kishua una vijumba vimebanana hivyo? Huo ni mtaa wa middle class kawaida tu. BTW hio 6m dollars hapo linauzwa eneo na real estate developer hapo anajenga 5 or more apartments block each with at least 20 apartments. Sasa chukua idadi ya apartments gawanya kwa hio $6m ndio utajua eneo kalipata kwa bei chee. Apartment moja sio chini ya $200,000.
Bangi zinakupelekesha sana nsugu yangu.Kuna kabibi flani hapa kanipenda balaa ana hela ndefu yani niko radhi kumroga. Kuna uwezekano anaweza kunitoa. Na ikitokea hivyo vishindo vyake mtaviona tu hapo Dar na Dubei. Kwasababu nitakuwa topic. Yani itakuwa fujo na jeuri ya pesa ya aina yake.
Yaani hawa madalali ni HEWA kabisa ,imagine Jumba alilonunua 50 Cent kutoka kwa Tyson llina Vyumba 21 na lipo kwenye ekari 17 ,lina mabafu zaidi ya 40 ,kuna amusement park ,fish pond ,uwanja wa basketball,barabara za lami ndani etc lakini iliuzwa 4.1m USD.Muwe mnafanya tafiti kabla ya kutoa bei zenu, Kwa bei hii Marekani unapata nyumba 6 za ghorofa ya floor mbili tena za kifahari ambazo kila nyumba Moja Ina vyumba 4.
Na unapewa na uraia kabisa.
Sasa si mara mia Kwa bei yako niende USA tu.
😹😹😹 Huyu wamemkuta mpole, ilitakiwa wampate yule dalali anayepiga punch..!Watu wana hasira sana! Sasa hio nyumba huko USA kwa $400,000 ipo Oysterbay ya Marekani? Yaani ipo eneo ambalo matajiri na viongozi wa Marekani wanaishi? Hapa sifananishi uzuri wa Oysterbay ya Marekani na Obay yetu. Huwezi kulinganisha bei ya maeneo ya kawaida ya USA au UK na maeneo ya Masaki au Oysterbay ambapo ndio sehemu ya hadhi ya juu hapa Tz. London kuna apartments ndogo tu zinauzwa zaidi ya £20m na London hapo hapo kuna majumba makubwa tu tena ushuani yanauzwa £5-10m. Bei linategemea soko. Tz kuna uha a wa nyumba na maeneo mazuri.
Money laundry, subiri samuya atoke kila kitu kitarudi normal na wateja watakosekana wa kununua hizo nyumba..!!Heeeee heeee tatizo soko la real estate Tanzania linahalibiwa na madalali 6.5M USD sawa na mabilioni ya Kitanzania
Huko goba na madale ndo vituko! Nyumba ya 250m zinauzwa 600m
Chief,lengo siyo kukuharibia biashara lakini kama wadau walivyotoa maoni yao nami nakubaliana nao kwamba, bei za hapo Dar ni mbaya mno na za kukatisha tamaa, just imagine hiyo kitu hapo chini ipo Staten Island, New York City halafu Bei yake ni 1.5 ml usd. View attachment 3680589View attachment 3680591View attachment 3680592View attachment 3680594
Bei za nyumba za asante mkapa walinunua kuanzia milioni 6 hadi 8 huko masaki ,oysterbay ,mikocheni ursino.Bora JPM mwingine aje tu, na akija kuwepo na mtikisiko wa uchumi duniani kama ule wa COVID-19
Enzi hizo 2020 na 2021 bei ya kiwanja na nyumba ya Asante Mkapa ulikuwa unapata kwa Milioni 400 - 600
Ila Sasa hivi, ni hatari Sana bei ni mwendo wa dolari za mamilioni
Mkuu uko sahihiGT kwa hiyo bei 6.5 7 usd unanunua villa saba kwenye mtaa wa kishua affluent neighbourhood Dubei Nad Al sheba 3.
View attachment 3680475
Godman Autodidact The Dojin Mwalimu wa tuisheni