GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.View attachment 1798885
Klabu ya Villarreal imechukua Ubingwa wa Ligi ya Europa baada ya kuifunga Klabu ya Manchester United kwa penati 11-10...
Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.