Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

View attachment 1798885

Klabu ya Villarreal imechukua Ubingwa wa Ligi ya Europa baada ya kuifunga Klabu ya Manchester United kwa penati 11-10...
Kilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.

Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.
 
Hongera yako mkuuu
 
Ngoja tumtafute Dauda
 
Duu
 
Man u pambafu kabisa Hawa..watamkumbuka mourinho kwa mataji..Jose inawezekana hakuwa mzuri kwa.mbinu za kufurahisha wengi..Ila alikuwa kwenye fainal Kama hizi hakuachi kizembe aisee
 
Morrinyo keshakua mwendazake,
soka lake limepitwa na wakati, halimsaidii na hataki kubadilika
 
Man u pambafu kabisa Hawa..watamkumbuka mourinho kwa mataji..Jose inawezekana hakuwa mzuri kwa.mbinu za kufurahisha wengi..Ila alikuwa kwenye fainal Kama hizi hakuachi kizembe aisee
Yaani unamtimua Mou unamleta mtu ambaye record yake muhimu kama kocha ni kushusha timu daraja. Mou ni kocha bora kabisa ila kwenda kuifundisha Tottenham ilikuwa uamuzi mbaya na Roma sijui kama ina pesa za kununua wachezaji.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Aisee, Timu za spain zikishaingia kwenye 18 hamchomoki.. ..timu inayoshika nafasi ya pili kwenye ligi yao imefungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 😀 ndio mtambue spain wana ligi bora.. ..
La liga mechi ya mwisho ndio imeamua mshindi wa kombe la ligi,halafu team hazikuachana sana kama ile ligi ya rugby ya kwa Malkia.
 
Kabisa, ukilinganisha na epl top 4 yao...wa kwanza hadi wa 4 tofauti point 19😀.. ..wakati la liga top 4 yao point 9 tofauti.. ..yani hazikuachana sana.. ..
 
Yaani unamtimua Mou unamleta mtu ambaye record yake muhimu kama kocha ni kushusha timu daraja. Mou ni kocha bora kabisa ila kwenda kuifundisha Tottenham ilikuwa uamuzi mbaya na Roma sijui kama ina pesa za kununua wachezaji.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sure..wanataka sexy footnall
 
Kilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.

Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.
Sio bure utakuwa mchawi ww
 
Back
Top Bottom