GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.View attachment 1798885
Klabu ya Villarreal imechukua Ubingwa wa Ligi ya Europa baada ya kuifunga Klabu ya Manchester United kwa penati 11-10...
Hongera yako mkuuuKilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.
Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.
Ngoja tumtafute DaudaKilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.
Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.
Kweli mmeishangaza.Manchester tutaishangaza dunia
Kweli mmeishangaza.Manchester tutaishangaza dunia
DuuKilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.
Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.
Morrinyo keshakua mwendazake,Man u pambafu kabisa Hawa..watamkumbuka mourinho kwa mataji..Jose inawezekana hakuwa mzuri kwa.mbinu za kufurahisha wengi..Ila alikuwa kwenye fainal Kama hizi hakuachi kizembe aisee
Kweli kabisa mkuu, De Gea kaishangaza Dunia sanaManchester tutaishangaza dunia
Yaani unamtimua Mou unamleta mtu ambaye record yake muhimu kama kocha ni kushusha timu daraja. Mou ni kocha bora kabisa ila kwenda kuifundisha Tottenham ilikuwa uamuzi mbaya na Roma sijui kama ina pesa za kununua wachezaji.Man u pambafu kabisa Hawa..watamkumbuka mourinho kwa mataji..Jose inawezekana hakuwa mzuri kwa.mbinu za kufurahisha wengi..Ila alikuwa kwenye fainal Kama hizi hakuachi kizembe aisee
Acha majungu.Rudia!
Acha majungu.
Kombe letu tena Trafford
La liga mechi ya mwisho ndio imeamua mshindi wa kombe la ligi,halafu team hazikuachana sana kama ile ligi ya rugby ya kwa Malkia.Aisee, Timu za spain zikishaingia kwenye 18 hamchomoki.. ..timu inayoshika nafasi ya pili kwenye ligi yao imefungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 π ndio mtambue spain wana ligi bora.. ..
La liga mechi ya mwisho ndio imeamua mshindi wa kombe la ligi,halafu team hazikuachana sana kama ile ligi ya rugby ya kwa Malkia.
Sure..wanataka sexy footnallYaani unamtimua Mou unamleta mtu ambaye record yake muhimu kama kocha ni kushusha timu daraja. Mou ni kocha bora kabisa ila kwenda kuifundisha Tottenham ilikuwa uamuzi mbaya na Roma sijui kama ina pesa za kununua wachezaji.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Football haiko unavyojua wwNyumbu wamepigwa na timu yenye 10% ya bajeti yao, hii ni zaidi ya aibu
Sio bure utakuwa mchawi wwKilichonishangaza Shaffih Dauda ( mwana Man United lia lia ) alikuwa akitoa ' updates ' za Mechi hiyo kila mara katika ' Pages ' zake ghafla nikaona amepotea na mpaka sasa haonekani.
Naichukia Manchester United FC kama vile ninavyoichukia Yanga SC na naipenda Liverpool FC kama vile ninavyoipenda Simba SC yangu. Nimebana sana ' Pumbu ' jana na hatimaye Kombe limeenda Hispania kwa wanaoujua Mpira.
Zilipewa penati 11Kwanini jana Nyumbu united hazikupewa penati?
ππππ