Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

HT 1-0 😂😂😂😂

Nyumbu tuliwaambia huyo mwalimu wenu wa zamu hamna kitu kabisa na leo mtakufa 😁
 
Nyumbu United tuliwaambia huyo mwalimu wenu wa zamu hakuna mafanikio atakayowapa
 
Nyumbu wamepigwa na timu yenye 10% ya bajeti yao, hii ni zaidi ya aibu
 
Nafikiri ni muda muafaka sasa "Ole Gunia la soseji" apigwe chini. Hana uwezo wa kuifundisha Man U. Timu haina tofauti na Ihefu-haitabiriki
 
Kweli man u siku hz hatuna timu,yaani mechi ya kuimaliza ndani ya dk90 tunadelay tunakwenda kugongwa na vitoto hivyo,bora hili likocha liondoke tu hakuna jipya mwakani kama kikombe hicho tu kashindwa kukaza na kukichukua
 
Back
Top Bottom