Vimba sana tembea na mume wa mtu au mke wa mtu kaa kwa kutulia, Karma is Real and Her other Name is a Reciproca.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.

Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.

Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.

Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.

Wadiz
 
Dunia imetengeneza nana yake ya kujifariji na tuiheshimu.

Kwamba matatizo yanayowapata wanadamu yanatokana na matendo waliyowahi kutenda wao au wazazi wao.

Hata umasikini wa nchi yetu utakua unatokana na karma sijui ya matendo ya Nani?
 
Shalom,

Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.

Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.

Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.

Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.

Wadiz
Vipi kuhusu kutembea na watoto wa watu bila ndoa? Me kwa ke?
 
Kuna mtu nilimsikia anaomba Mungu, anayetembea na mume wake azae mtoto mlemavu
 
Kosa sio la mwanaume, kosa ni la mkeo. Nilikuwa naaamini katika karma lakini jua kuna watu wanafanya mabaya na wanaishi maisha mazuri kuliko. Mimi mwenyewe nilijiapia sitombato mke wa mtu lakini walijilengesha mpaka basi.
 
Pole sana mkuu wamekufanyaje tena? Ila tuliwaambia MSIOE NDOA NI UTAPELI
 
Kuna mtu nilimsikia anaomba Mungu, anayetembea na mume wake azae mtoto mlemavu
Huyo anapiga kelele tu mbele za Mungu hakuna ombi la hivyo. Kama ni muombaji basi amuombee mume wake akae katika mstari
 
Back
Top Bottom