Vimba sana tembea na mume wa mtu au mke wa mtu kaa kwa kutulia, Karma is Real and Her other Name is a Reciproca.

Vimba sana tembea na mume wa mtu au mke wa mtu kaa kwa kutulia, Karma is Real and Her other Name is a Reciproca.

Ni jana tu jamaa yangu mmoja alinifata kuomba ushauri kwa kweli ni marefu sana,
Ila kwa kufupisha mno mno alikuja kugundua mwanae wa kiume analawitiwa na wenzake

Na alikuja kugundua muda sana umeenda ,baada ya kumshauri nini cha kufanya ndipo kwa kujua nguvu ya KARMA ,
Ndipo nilimuuliza kama alishawahi kuwaingilia wanaume wenzake,
Hapo ndio nilichoka jamaa akiwa very fustrated alinijibu kuwa alilawiti sana wanaume mashoga huko nyuma

Hadi madada poa hawa ,ndipo nikampa somo la KARMA hapo hapo
.

nb. Fanyeni ubaya tu ila kizazi chako kinaweza kuja kulipa hayo.
 
Huu uzi fikirishi, lazima tuwe na kiasi na mipaka katika matendo yetu.
 
Tusitishane wala Tusichoshane kila mtu ashinde mechi zake. Hamna maisha yenye stresss na raha ka ya ndoa/unyumba

kugegeda wagegedane wengine weye unabaki kusema malipo apa apaa ... what if we are supposed kulana wote bila kunyimanaa iwe amewowa ama amewolewa ... aombaye na apeweee ........ piga makofi tafadhailli shangilia utamu
 
Shalom,

Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.

Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.

Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.

Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.

Wadiz
Pppp0pppxppxxxxxx
 
Dunia imetengeneza nana yake ya kujifariji na tuiheshimu.

Kwamba matatizo yanayowapata wanadamu yanatokana na matendo waliyowahi kutenda wao au wazazi wao.

Hata umasikini wa nchi yetu utakua unatokana na karma sijui ya matendo ya Nani?
Hahahaha, kazi kweli.
 
Tusitishane wala Tusichoshane kila mtu ashinde mechi zake. Hamna maisha yenye stresss na raha ka ya ndoa/unyumba

kugegeda wagegedane wengine weye unabaki kusema malipo apa apaa ... what if we are supposed kulana wote bila kunyimanaa iwe amewowa ama amewolewa ... aombaye na apeweee ........ piga makofi tafadhailli shangilia utamu
Mimi hayo mambo ya karma sijui nini wala siendekezi. Kama naona yamenishinda nakula kona kila mtu ashike njia yake. Unasubiria karma ambayo ambazo hazina uhalisia. Utabaki kuumia. Watu wazima wameamua kupeana gautama bila kushirutishwa nihangaike nao wa nini.
Utaumia na kujipatia stress na kufa mapema uache ku.enjoy maisha. Usisubirie kupewa furaha na mtu yoyote hapa dunia , you will be disappointed.
 
Karma ipo moja niliona kwa jirani yetu wa miaka mingi,alikuwa anaishi na mme wa mtu muda tu wakafanikiwa kupata watoto mmoja wa kike.Yule binti alikuwa mzuri mno alisoma,akapata kazi kisha akaolewa,ila ndoa ilidumu mwaka tu kila mtu akashika njia yake
Wa pili ni ndugu yangu alitembea na mme wa mtu akapata watoto,mmoja alizalishwa mwanaume akamwacha,wa pili amekuwa mraibu wa madawq,na mwingine ana mambo ya ushoga
Dunia itakurudishia matendo yako mwenyewe wewe mwenyew utajilaani kwa matendo yako,ila pia muda mwingine watu hulaanika kwa matendo ya wazazi wao ndio maana tunaambiwa tusali kuvunja hayo malaana kama ni laana za mzazi ziishie kwake zisiende kwa mtoto
 
Sio kila kitu ni karma. Ndoa zinavunjika sana siku hizi na sababu sio hizo karma mnazozisema. Tunatafuta visingizio tu.
 
Kuchepuka na karma vimeingilanaje hapo, watu mpk wanachepuka kila mmoja karidhia na wameelewana.
 
Dunia imetengeneza nana yake ya kujifariji na tuiheshimu.

Kwamba matatizo yanayowapata wanadamu yanatokana na matendo waliyowahi kutenda wao au wazazi wao.

Hata umasikini wa nchi yetu utakua unatokana na karma sijui ya matendo ya Nani?
wanasema et ni karma ya mababu kuwauza wenzao kama watumwa ndo inayotutafuna
 
Back
Top Bottom