Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Labda JF ndo mahali pa kuhemea matukio.Hizi mada zimefululiza, sasa itakuaje
Sasa mingle yangu sijui nighairiLabda JF ndo mahali pa kuhemea matukio.
Vipi kuhusu kutembea na watoto wa watu bila ndoa? Me kwa ke?Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.
Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.
Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.
Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.
Wadiz
Kuna mtu nilimsikia anaomba Mungu, anayetembea na mume wake azae mtoto mlemavuShalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.
Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.
Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.
Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.
Wadiz
Karma inakuja kwa namna yoyote inavyotakaKuna mtu nilimsikia anaomba Mungu, anayetembea na mume wake azae mtoto mlemavu
Kosa sio la mwanaume, kosa ni la mkeo. Nilikuwa naaamini katika karma lakini jua kuna watu wanafanya mabaya na wanaishi maisha mazuri kuliko. Mimi mwenyewe nilijiapia sitombato mke wa mtu lakini walijilengesha mpaka basi.Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.
Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.
Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.
Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.
Wadiz
Huyo anapiga kelele tu mbele za Mungu hakuna ombi la hivyo. Kama ni muombaji basi amuombee mume wake akae katika mstariKuna mtu nilimsikia anaomba Mungu, anayetembea na mume wake azae mtoto mlemavu