njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Tayari huyuUshapigwa tukio siyo bure
Pppp0pppxppxxxxxxShalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa unakula wake za watu au unatoka na waume za watu huwezi connect dots.
Karma is a true chameleon sio Leo sio kesho matendo yako yatajilipa unaweza kuteswa na magonjwa, vifo vya watoto, uzao pooza wa wajukuu n.k.
Think deep jihurumie jipende heshimu watu ishi kwa na namna njema yenye matendo mema.
Mungu aliye wa wote na referee wa ukweli yupo.
Wadiz
Hahahaha, kazi kweli.Dunia imetengeneza nana yake ya kujifariji na tuiheshimu.
Kwamba matatizo yanayowapata wanadamu yanatokana na matendo waliyowahi kutenda wao au wazazi wao.
Hata umasikini wa nchi yetu utakua unatokana na karma sijui ya matendo ya Nani?
Mimi hayo mambo ya karma sijui nini wala siendekezi. Kama naona yamenishinda nakula kona kila mtu ashike njia yake. Unasubiria karma ambayo ambazo hazina uhalisia. Utabaki kuumia. Watu wazima wameamua kupeana gautama bila kushirutishwa nihangaike nao wa nini.Tusitishane wala Tusichoshane kila mtu ashinde mechi zake. Hamna maisha yenye stresss na raha ka ya ndoa/unyumba
kugegeda wagegedane wengine weye unabaki kusema malipo apa apaa ... what if we are supposed kulana wote bila kunyimanaa iwe amewowa ama amewolewa ... aombaye na apeweee ........ piga makofi tafadhailli shangilia utamu
Sio kila kitu ni karma. Ndoa zinavunjika sana siku hizi na sababu sio hizo karma mnazozisema. Tunatafuta visingizio tu.Karma ipo moja niliona kwa jirani yetu wa miaka mingi,alikuwa anaishi na mme wa mtu muda tu wakafanikiwa kupata watoto mmoja wa kike.Yule binti alikuwa mzuri mno alisoma,akapata kazi kisha akaolewa,ila ndoa ilidumu mwaka tu kila mtu akashika njia yake
Wa pili ni ndugu yangu alitembea na mme wa mtu akapata watoto,mmoja alizalishwa mwanaume akamwacha,wa pili amekuwa mraibu wa madawq,na mwingine ana mambo ya ushoga
Dunia itakurudishia matendo yako mwenyewe wewe mwenyew utajilaani kwa matendo yako,ila pia muda mwingine watu hulaanika kwa matendo ya wazazi wao ndio maana tunaambiwa tusali kuvunja hayo malaana kama ni laana za mzazi ziishie kwake zisiende kwa mtoto
Kakutana na K yamkewe imetanuka sana kinyume kablq hajasafiriUshapigwa tukio siyo bure
wanasema et ni karma ya mababu kuwauza wenzao kama watumwa ndo inayotutafunaDunia imetengeneza nana yake ya kujifariji na tuiheshimu.
Kwamba matatizo yanayowapata wanadamu yanatokana na matendo waliyowahi kutenda wao au wazazi wao.
Hata umasikini wa nchi yetu utakua unatokana na karma sijui ya matendo ya Nani?