Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Sikua. Na meza nlkua nayaona kabsa kuna. Siku nliota na cheza na mitochondria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan nimecheka khaaa
 
Mimi nilikuwa naibahatisha kidogo, maelezo na concept mara nyingi zilikuwa zinagoma kukaa kichwani
 

Imewahi kukutokea umepewa karatasi ya maswali ukaanza kusoma swali la kwanza gumu, la pili nondo, la tatu huelewi mpaka la mwisho. Baada ya kuona hivyo unaangaliwa vipanga darasani na wao wanauma tu kalamu. Hapo kidogo unapata afueni.

Kuna msemo unasema KIFO CHA WENGI NI NAFUU. Unaanza kujibu yale uliyo kariri hata kama sio majibu tena unapigia na msitari kwa rula kama una uhakika na unachokijibu vile. Matokeo yakitoka una F
 
TIA mchezo huo upo sana
 
Najua Sarufi sio ngumu kivile, HKL, HGK walikuwa wanasoma prepo kuanzia saa 2 hadi saa 4 (yaani masaa 2 ) na wanafaulu bila shida yoyote.

Wengine na sie wa PCM, PCB, PGM unatoboa ozone ila kufeli kupo nje nje
Nimesoma pcb ila mwisho kusoma ilikua saa nne ila saa kumi au sa kumi na moja lazima niwe darasan nlkua natumia vzur day time
 
Nimeenda chuo first year nimechelewa. Siku naingia class nakutana na paper. Nikajaza jina tu
 
Sijawai jipa tabu na shule nikiona swali sielewi sijaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…