Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Mkuu mimi tangu nimeanza kusoma mitihani iliyonikamata kabisa ni michache mno, mara nyingi huwa namaliza kabla ya muda kwa kuwa naelewa nijibu nini japo ufaulu wangu ni wa wastani.
😛 😛
 
Muda wa kulala kwenye mtihani unautoa wapi..
hizi ni chai tu
Mkuu kuna wakati inatokea hususani kwenye masomo usiyo ya penda. Mfano mm nilisinzia kwenye mtihani wa Geography form four
 
tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh

sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu

nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea 😀😀😀😀

😀😀😀😀 uuwi nimecheka sana, hii story itakuwa sio ya zamani sana matent yale sidhani yana zaidi ya 5 or 6 years
 
Ilikua pepa ha form six bwana. Geography 2. Nimekaa nyuma ya jamaa katumia booklet 4 aisee wakati mie nimetumia moja na nusu. Nikasema hapa nishafeli. Majibu kutoka jamaa ana F ya Geography na overall ana div zero. Nikajiuliza jamaa alikua anajibu nn siku ile. Itakua examiners wanachekaga sana
Zamani za kale huko Kagera

G2 ilikuwa pepa la mwisho...basi wana hatuna habari...tunajijazia zetu madude...mabag yapo nje ya mlango tuwahi zetu meli

Nadhani matokeo hayakuwa one ya tano sababu ya hii pepa

Tulikuwaga wajinga kisengerema
 
Kuna invigilator mmoja aliwahi kusema

'Hakikisha unachokijaza kina_make sense kwanza kwako...kama hakimake...kusanya'

Ahahahaha
 
Wakuu Baba Swalehe na mkuu Theriogenology salaam kwenu.

Nimepitia maongezi yenu hapo juu, nimeshangazwa jinsi mlivoichambua Chemistry from atomic to molecular level kama vichaa vile... Yaani nimewapenda bure...

Kumbe nyie mazee ni vipanga wenzangu kabisa yani (hatutazami matokeo ya cheti, bali masomo ulosoma).

Sasa nimebaki najiuliza hapa iweje mkawa mnashangilia kuwa team MAPUGI huku mtabe mwenzenu nikiwa nabwekewa na mbwa majike-dume (MAPUGI).

By keeping other variables constant, rasmi leo hii nawatoa na kuwafuta kabisa kwenye banda ya MAPUGI. Nyie ni watabe... Wababe. Mmepita shule.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
😀 2011-2013 diploma.
kuna mtu kanambia huyo jamaa wa DIT aliyekuwa anatufanyiaga paper za math na operation research hadi akatakata kukamatwa kumbe alikuwa diploma kipindi hicho... naskia alivyomaliza diploma DIT akahamia CBE kupiga bachelor ya legal and industrial metreology nov 2015- july 2018 naona alipapenda CBE akaamua kuhamia kabisa 😂😂😂 too bad me nilikuwa nimeondoka ningetaka kujua kama bado aliendeleza ndondo 😂
 
tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh

sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu

nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea 😀😀😀😀
Ha ha ha ha ha you made my day!!!!
Lol
 
ukute tumewahi hadi kupishana kwenye notes board za COBESO pale 😂😂 maana mimi ilikuwa 2012-2015

😀 inawezekana tulipishana ingawa kipindi kile kutokana na ufinyu wa madarasa tulipangiwa CCC kule upanga . huyo jamaa wa DIT kanichekesha akahamia kabisa CBE 😀😀
 
😀 inawezekana tulipishana ingawa kipindi kile kutokana na ufinyu wa madarasa tulipangiwa CCC kule upanga . huyo jamaa wa DIT kanichekesha akahamia kabisa CBE 😀😀

me mwenyewe nimecheka sana niliposikia mndewa kamaliza CBE mwaka huu 😂😂 nikikumbuka lile push alilompiga yule msimamizi sijui alikuwa akikutana naye inakuaje 😂😂
 
Back
Top Bottom