Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Hata mimi sikuwaga na BS, nilikomaa na mapamphlet tu na niliambualia C nikasonga mbele
Bs ... Daah mkuu ila mm nltumia vtabu ving sana coz nlkua na ambition sana na neurosurgery ... Thanks to God
 
Na hakika mtu akipata pamphlet (chemia bios na physics ) kutoka kibaha mzumbe tabora boys na hakika hana haja ya kusoma tuition atatusua vizuri kabisa bila hata kusoma yale mavitabu makubwa makubwa......

Halafu hakuna topic ambao sikuipenda na kuielewa kama inorganic chemistry mpaka namaliza sikujua nisome nini na sikuwa na notes nzuri za hiyo kitu so nilipata tabu sana.....
Mambo ya period three element ... Anomalaus behaviours za sodium ..magnesium aluminium silicon
Phosphorous
Sulphur
Chlorine
Argon. Where by its reactions with water. Inadepend na atomization energy na ionization energy where sodium ' magnesium reacts with water ... Forming metal oxide and hydrogen. But aluminium is not reactive and is rendered passively
Phosphorous and sulphur have no reactions with water
Chlorine forms hcl and hypochrolous acid
Argon cant react

Reaction with dilute hcl and sulphuric acid .... Kama unaijua reactivity series zile kompaund ya juu ya hydrogen zote ... Zinareact... Na hzo dilute acidds. Lakin aluminium zenyewe znareact na hot acids ... Zenyewe zinapenda hot totooz tuu hazipend cold. ....

Hahaha dah chem love you deeply from my heart you know it dear ... But mahaba yangu kwa bios hayazid mahaba yangu kwa physics ....
Physics ... Dah hatutakuja kuachana mpaka kifo kitutenganishe
 
Mkuu ulikuwa kipanga nn kama bwana CCNP Engineer
 
Leo nmekumbuka tu dah it was very nice life ... I loved education jaman mjenge mazingira ya watoto wenu kupenda education my father did it mtu akiniuliza faida ya elimu ... Imenisaidia kufungua kichwa changu ... Kumbuka life path are narrow and constricted wengine inabid tuish hivi humu ndan its my hobby to make people happy ... Ila

Lets teach our child ... To love education ... What they love mchunguze mtoto tangu mdg every body has his divine assignment ... Hata mkuu kiranga hiyo ndo assignment yake ya kumpinga sir god

Life path riddim ... Kill their energy
 
Nakumbuka nipo kwenye U.E Mi hata niwe nimesoma vip lazima niingie na mgombea mwenza kibomu. sa siku hiyo nawaangalia crew yangu wanajifanya wanaelewa et dk za mwisho ndo wanajifanya wanasolve na vitu vinasogea mi huwa sipendi mambo ya kujaribu maisha. Tumeingia wamekuta mambo kama miujiza tu vitu havieleweki, halaf maswali kama matatu hivi nnayo kwenye kibomu , nikawaambia nnayo mazee, wakataka niwaonyeshe nikawarushia vibomu shughuli ikaingia mchanga kibomu hakijafika kimeishia katikati Aiseee pale ndo niligundua rafiki wa kweli ni baba na mama yani kila mtu aligeuka upande wake kwamba hataki kujihusisha kisa kimeanguka vibaya eti...
 
Sitosahau udsm nilivyokamatwa na kibomu ,tulikuwa tunafanya test ya proba, kweli nilikuwa mzembe wa kusoma na lecture alikuwa amefundisha distribution zaidi ya kumi halafu mimi nilikuwa sijui kuderive hatamoja ,nikaona ujanja nikutengeneza kibomu then nikaderive distrbtion za msingi ,kikaratasi kilikuwa kidogo sijui hatazilitoshaje[emoji4][emoji4]
Nikatafuta nitakifichawapi nikaona nitakiingiza ndani ya kifuniko cha scientific calculator ili iwerahisi kukitumia kumbe nilijuwa najitilia mafuta, ikafika muda lecture akawa anatusambazia statistical table, kufika kwangu nikaona anashangaa mapigo ya moyo yakaanza kunidunda kumbe kibomu kilikuwa kinachungulia kwa mbali ndani ya mfuniko wa calculator asee ngoja niishie hapo maana fedhea niliopata naijua mwenyewe
 
f

Umenikumbusha mwanangu mmoja hivi muarabu. Alikuwa anasoma ila vibomu kama kawa. Na akawa hakamatwi, kwa hiyo hali ikafika kipindi akawa anajiita Highly Trained Terrorist.
 
Sitosahau udsm nilivyokamatwa na kibomu ,tulikuwa tunafanya test ya proba, kweli nilikuwa mzembe wa kusoma na lecture alikuwa amefundisha distribution zaidi ya kumi halafu mimi nilikuwa sijui kuderive hatamoja ,nikaona ujanja nikutengeneza kibomu then nikaderive distrbtion za msingi ,kikaratasi kilikuwa kidogo sijui hatazilitoshaje[emoji4][emoji4]
Nikatafuta nitakifichawapi nikaona nitakiingiza ndani ya kifuniko cha scientific calculator ili iwerahisi kukitumia kumbe nilijuwa najitilia mafuta, ikafika muda lecture akawa anatusambazia statistical table, kufika kwangu nikaona anashangaa mapigo ya moyo yakaanza kunidunda kumbe kibomu kilikuwa kinachungulia kwa mbali ndani ya mfuniko wa calculator asee ngoja niishie hapo maana fedhea niliopata naijua mwenyewe
Vibomu Mimi vilinishinda. Ni muoga sana wa hayo mambo. Kilichokuwa kinanisaidia nasoma kwa kuelewa tu, ila hiyo hali nayo ilinitesa. Ma' lecturers walikuwa wanataka niandike kama kwenye vitabu ilivyoandikwa, mi nikawaambia uwezo wangu wa kukariri ni mdogo.

Wakaniambia unajifanya genius? Tunga kitabu chako. Nikiikumbuka hilo suala nacheka sana. Namkumbuka Ranchochadas wa kwenye 3 idiots. Tofauti ni kwamba Rancho alikuwa genius, Mimi nilikuwa wa wastani.
 
tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh

sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu

nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea 😀😀😀😀
Hahahhh...huyo mshikaji noma saana...Duuh.
Mi nakumbuka mshikaji mmoja alikuaga baunsa, aliingia na kibomu knye test ya programming akaweka chini ya question paper. Sasa katika kupitapita, lecturer akakiona kinachungulia chini akapeleka mkono kwenda kukichukua... Weeeee.. Huyo mshikaji alimkata jicho halafu akabana ile question paper na kiwiko. Daaah sikuamini macho yangu, yule lecturer aliogopa, ikabidi aendelee kusimama hapo hadi muda wa paper ukaisha. Baunsa akakunja question paper pamoja na kibomu ndani akatoka.
Matukio mengine yanahitaj ujasiri wa kuzaliwa au kuvuta bange, maana....hatare sana
 
Nakumbuka nipo kwenye U.E Mi hata niwe nimesoma vip lazima niingie na mgombea mwenza kibomu. sa siku hiyo nawaangalia crew yangu wanajifanya wanaelewa et dk za mwisho ndo wanajifanya wanasolve na vitu vinasogea mi huwa sipendi mambo ya kujaribu maisha. Tumeingia wamekuta mambo kama miujiza tu vitu havieleweki, halaf maswali kama matatu hivi nnayo kwenye kibomu , nikawaambia nnayo mazee, wakataka niwaonyeshe nikawarushia vibomu shughuli ikaingia mchanga kibomu hakijafika kimeishia katikati Aiseee pale ndo niligundua rafiki wa kweli ni baba na mama yani kila mtu aligeuka upande wake kwamba hataki kujihusisha kisa kimeanguka vibaya eti...
ikawaje mzee baba...problem ilikuwa solved vip?
 
Hahahhh...huyo mshikaji noma saana...Duuh.
Mi nakumbuka mshikaji mmoja alikuaga baunsa, aliingia na kibomu knye test ya programming akaweka chini ya question paper. Sasa katika kupitapita, lecturer akakiona kinachungulia chini akapeleka mkono kwenda kukichukua... Weeeee.. Huyo mshikaji alimkata jicho halafu akabana ile question paper na kiwiko. Daaah sikuamini macho yangu, yule lecturer aliogopa, ikabidi aendelee kusimama hapo hadi muda wa paper ukaisha. Baunsa akakunja question paper pamoja na kibomu ndani akatoka.
Matukio mengine yanahitaj ujasiri wa kuzaliwa au kuvuta bange, maana....hatare sana
Hao tunawaita higly trained terrorist
 
Back
Top Bottom