Sitosahau udsm nilivyokamatwa na kibomu ,tulikuwa tunafanya test ya proba, kweli nilikuwa mzembe wa kusoma na lecture alikuwa amefundisha distribution zaidi ya kumi halafu mimi nilikuwa sijui kuderive hatamoja ,nikaona ujanja nikutengeneza kibomu then nikaderive distrbtion za msingi ,kikaratasi kilikuwa kidogo sijui hatazilitoshaje[emoji4][emoji4]
Nikatafuta nitakifichawapi nikaona nitakiingiza ndani ya kifuniko cha scientific calculator ili iwerahisi kukitumia kumbe nilijuwa najitilia mafuta, ikafika muda lecture akawa anatusambazia statistical table, kufika kwangu nikaona anashangaa mapigo ya moyo yakaanza kunidunda kumbe kibomu kilikuwa kinachungulia kwa mbali ndani ya mfuniko wa calculator asee ngoja niishie hapo maana fedhea niliopata naijua mwenyewe