Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

C3 mkuu rahis sana in short ile ni reverse ya glycolysis ... Starting from 3 phosphoglycerate aldehyde .. To 1 -3 phosphoglycerate aldehyde then utaireduce kwenda kwenye glyeceral aldehyde 3 phosphate kwa kutumia nadph2 kuna some of them itarud kutengeneza rubp ... Haf nmesahau mwanzo ni five carbon sugar plus carbon dioxide under rubisco enzyme

Hiyo c4 two cells mesophyl and nini sijui ile pep a 3c sugar ina plus na co2 anda pep decarboxylase ...

Aah nishachoka mkuu ... Ila ... Hadi leo pep decarboxylase yenyewe sijaiona mpaka leo

Ila reaction itaenda mpaka bundle sheath cells ... Na c3 itaendelea asante kwa kusoma mkuu
Mzee ulikuwa mmezaji mzuri hadi leo unakumbuka hayo madudu...
 
Mziki wa Biology achana nao kabisa..... Mwalimu wa biology muda wote matusi tu nyie vilaza mnadhani mtafaulu biology kwa kusoma ma pamphlets nataka kila mmoja wenu akomae na Biological science (BS) likitabu lenyewe ukiliona kubwa.......

Namshukuru Mungu nililamba Che [C) na sikuwahi soma hilo li bs zaidi ya kumeza yale maswali na majibu yaliyokuwa mule ndani......
Hata mimi sikuwaga na BS, nilikomaa na mapamphlet tu na niliambualia C nikasonga mbele
 
Masomo mepesi kwangu ya Sayansi ni Bio na Physic..
Chemia na Math naziheshim sana. Ilikua ikiwa ni wakati wa pepa la bio naenda school nakimbia ili niwahi kufanya mashambulizi
 
Yaani advance ni ujanja tu nakumbuka nilipata notes fulani za tabora boys mwishoni ndio nilikomaa nazo plus nilipata ki-pamphlet fulani hivi kutoka st marygoreth kilikuwa kina maswali ya miaka ya 80 to 90 (Necta) kilikuwa handwritten na jamaa alisoma mzizima high school Mungu hamtupi mja wake nilikuta maswali kama 3 copy n paste ppr 1 sema mambo mengi nilijaza jaza tu but nikakomaa nacho ppr 2 nikaambulia swali la genetics moja wamehamisha kama lilivyo na mimi nikafanya kucopy na ku paste......
 
Hongera sana Mkuu mimi chemia nilikuwa naionea vibaya mno na ndio lilikuwa somo jepesi kwangu ingwa mwishoni niliambulia che pia......

But practical ndio iliniangusha kwenye masomo ya sayansi practical zilikuwa zinanitesa sana.....

Hata chuoni mzimu wa practical uliniandama sana tofouti na theory.....
 
Chemia sijawahi kuilewa kabisa, toka form two ilinikataa. Naheshim sana anayesoma chemia. Mm practical na theory zote nilikua vzuri mnoo
 
Inapendeza sana Mkuu ila mwisho wa siku yote hayo tushasahau tunapambana na maisha mengine sasa.....
 
Yaani advance ni ujanja tu nakumbuka nilipata notes fulani za tabora boys mwishoni ndio nilikomaa nazo plus nilipata ki-pamphlet fulani hivi kutoka st marygoreth kilikuwa kina maswali ya miaka ya 80 to 90 (Necta) kilikuwa handwritten na jamaa alisoma mzizima high school Mungu hamtupi mja wake nilikuta maswali kama 3 copy n paste ppr 1 sema mambo mengi nilijaza jaza tu but nikakomaa nacho ppr 2 nikaambulia swali la genetics moja wamehamisha kama lilivyo na mimi nikafanya kucopy na ku paste......
Pamphlet zimetoa kimasomaso sana.

Kuna pamphlet moja la chemia, organic na physical lilikuwa limeandikwa na mkono na Mkandawile, jamaa alitoka nalo kibaha miaka ya nyuma tukawa tunapokezana kila anayemaliza anampasia anayefuata, tulipokezana watu 4 tangu jamaa wa Kibaha atuachie na limetutoa vizuri sana kwenye chemia, wengi wetu tuliambua B za chemia kwa mtindo huo.

Kwa chemia nimewahi kusoma tuit kidogosana kwa upande wa Benzene tu, physical na Inorganic niliisoma kwa msaada wa rafiki yangu ikatembea
 
tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh

sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu

nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea 😀😀😀😀
Daah nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wakat pepa ikiwa ngumu na muda unaenda, nilikuwa najihisi bao linataka kutoka
Aisee !! Mi nilikuwa napiga bao kabisaaa, pia kuna siku nililetewa taarifa kwamba nyumbani nimeibiwa, ile hali ya kua na haraka kuwahi home nikajikuta napiga bao
 
Kuna wakat pepa ikiwa ngumu na muda unaenda, nilikuwa najihisi bao linataka kutoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Pamphlet zimetoa kimasomaso sana.

Kuna pamphlet moja la chemia, organic na physical lilikuwa limeandikwa na mkono na Mkandawile, jamaa alitoka nalo kibaha miaka ya nyuma tukawa tunapokezana kila anayemaliza anampasia anayefuata, tulipokezana watu 4 tangu jamaa wa Kibaha atuachie na limetutoa vizuri sana kwenye chemia, wengi wetu tuliambua B za chemia kwa mtindo huo.

Kwa chemia nimewahi kusoma tuit kidogosana kwa upande wa Benzene tu, physical na Inorganic niliisoma kwa msaada wa rafiki yangu ikatembea
Na hakika mtu akipata pamphlet (chemia bios na physics ) kutoka kibaha mzumbe tabora boys na hakika hana haja ya kusoma tuition atatusua vizuri kabisa bila hata kusoma yale mavitabu makubwa makubwa......

Halafu hakuna topic ambao sikuipenda na kuielewa kama inorganic chemistry mpaka namaliza sikujua nisome nini na sikuwa na notes nzuri za hiyo kitu so nilipata tabu sana.....
 
Back
Top Bottom