Pamphlet zimetoa kimasomaso sana.
Kuna pamphlet moja la chemia, organic na physical lilikuwa limeandikwa na mkono na Mkandawile, jamaa alitoka nalo kibaha miaka ya nyuma tukawa tunapokezana kila anayemaliza anampasia anayefuata, tulipokezana watu 4 tangu jamaa wa Kibaha atuachie na limetutoa vizuri sana kwenye chemia, wengi wetu tuliambua B za chemia kwa mtindo huo.
Kwa chemia nimewahi kusoma tuit kidogosana kwa upande wa Benzene tu, physical na Inorganic niliisoma kwa msaada wa rafiki yangu ikatembea