Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] pole sana miye hesabu nilikua nasimami kucha mwanzo mwisho baoloji hapana ilinikataa sana mwl wetu alichangia kuniua
Mi nalala mpk pens down!MIE NILIKUWA NA KOPI MASWALI KATIKA question paper NAHAMISHIA KATIKA booklet.. mpaka muda unafika..
alaf MTIHANI wa MATHEMATICS unalala USINGIZI HAUJI.. unakuwa BORED.. alaf masaa ma 3.. unachoka.. unaanza kuhesabu mabati... ukichoka unalalia desk kama MBWA KOKO.. yaan hatari
Unahesabu na vitobo vya misumari kwenye bati