Itakua alizaliwa mara mbiliHuku kazakiwa 1985 huku 1986, huku 5 November, huku 10th November
Postcode: 57208Anayemjua mhusika aje inbox nimwelekeze.
Mara paap unawapelekea wenyewe,wema unakuponzaAIseee siku hizi naona majina yanachanganya sana.
Benadetha - Christian
Mohamedi - Muslim.
Ni hatari sana ,bora umesanua ,kuna watu walishawai kupata matatizo kwa kufanya jambo la kurejesha vitambulisho.Mara paap unawapelekea wenyewe,wema unakuponza
😄
Ova
Huyo dada ana shida mahalaHuku kazakiwa 1985 huku 1986, huku 5 November, huku 10th November
Inatokeaga hiyoNi hatari sana ,bora umesanua ,kuna watu walishawai kupata matatizo kwa kufanya jambo la kurejesha vitambulisho.
KazakiwaHuku kazakiwa 1985 huku 1986, huku 5 November, huku 10th November
Ndio Tz hiyo, hapo ni watu wawili tofauti ila ni mmoja.Huku kazakiwa 1985 huku 1986, huku 5 November, huku 10th November
Ubarikiwe mkuuNjia gani rahis unadhan inafaa. Sikutaka kuweka no ya sim ili wanichek walio serious.
Binafs nilishateswa sana na nyaraka kupotea nataman huyu azipate.