Vimeokotwa vitambulisho vya Bernadetha Mohamedi Kalembo, Hospitali ya Kibamba

Vimeokotwa vitambulisho vya Bernadetha Mohamedi Kalembo, Hospitali ya Kibamba

Mara paap unawapelekea wenyewe,wema unakuponza
😄

Ova
Bas itakuwa tukio la pili na sikomi.
2016 nilimpa lift mama na mtoto nikapata ajari mbaya (write off) .
Nikamhudumia hosp siku 5 na kumpeleka kwao bado akadai fidia eti hazalishi anaskilizia!
 
Back
Top Bottom