Tobito JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,308 Reaction score 4,165 Jun 26, 2026 Thread starter #21 Vishu Mtata said: Post facebook, Instagram etc na pia kuna pages ambazo zinasaidia hilo huko mitandao ya kijamii. Click to expand... Mhusika kama hajui jf mtandao mkubwa zaid wengi hupitia bas yu mbali na dunia ya Tz. Nimejarib ninaloweza.
Vishu Mtata said: Post facebook, Instagram etc na pia kuna pages ambazo zinasaidia hilo huko mitandao ya kijamii. Click to expand... Mhusika kama hajui jf mtandao mkubwa zaid wengi hupitia bas yu mbali na dunia ya Tz. Nimejarib ninaloweza.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Jun 26, 2026 #22 Rwaz said: Mhusika kama hajui jf mtandao mkubwa zaid wengi hupitia bas yu mbali na dunia ya Tz. Nimejarib ninaloweza. Click to expand... Kila la kheri kwenu.
Rwaz said: Mhusika kama hajui jf mtandao mkubwa zaid wengi hupitia bas yu mbali na dunia ya Tz. Nimejarib ninaloweza. Click to expand... Kila la kheri kwenu.
Tobito JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,308 Reaction score 4,165 Jun 26, 2026 Thread starter #23 mrangi said: Mara paap unawapelekea wenyewe,wema unakuponza 😄 Ova Click to expand... Bas itakuwa tukio la pili na sikomi. 2016 nilimpa lift mama na mtoto nikapata ajari mbaya (write off) . Nikamhudumia hosp siku 5 na kumpeleka kwao bado akadai fidia eti hazalishi anaskilizia!
mrangi said: Mara paap unawapelekea wenyewe,wema unakuponza 😄 Ova Click to expand... Bas itakuwa tukio la pili na sikomi. 2016 nilimpa lift mama na mtoto nikapata ajari mbaya (write off) . Nikamhudumia hosp siku 5 na kumpeleka kwao bado akadai fidia eti hazalishi anaskilizia!