Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ' Dida' amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga .

Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini . "Kufanya kazi Ikulu ningeshindwa kwani kuvaa nguo ni kwa sheria , huwezi kujivalia tu , kazi yangu nipo huru naweza kuvaa kitu chochote kile nikajisikia nina amani , lakini Ikulu lazima utinge koti na kuchomekea , " alisema Dida.
 

Attachments

  • 1411051518922.jpg
    44.3 KB · Views: 3,958
Una hadhi ya kufanya kazi ikulu au unajishaua tu, shule yenyewe umekimbia rumande

Binadamu bwana eti umekimbia shule ngoja tusubrie big brother inanza tarehe 5 ashushe ile lugha yetu
 
Ikulu akupeleke nani mwenzanguuuuu?? lol!!
 
Binadamu bwana eti umekimbia shule ngoja tusubrie big brother inanza tarehe 5 ashushe ile lugha yetu

Sasa uko big brother anaenda kuongea nini kwa mfano? Maana mwenzangu na mimi lugha hamna kama mie warumi tu ata hatuchekani, ivi anajua big brother ni kama ofisi za clouds kila taka taka inaingia? Ajipange lugha ya queen elizabeth
 
Ikulu akupeleke nani mwenzanguuuuu?? lol!!

Ebu nisaidie kushangaa, nyie huyu dida kashaanza kuchanganyikiwa, ndoa tatu zote zimemshinda mchezo lazima ajiropokeshe ovyo
 
wazee wa ikulu wameshamshokea nini,mbona apatamani ikulu huyooo
 
Dinazarde njoo umuone shangingi wa jiji uku
 
Last edited by a moderator:
Eti ikulu, ikulu my foot, huyu laana ya ndoa inaanza kumpata huyu sio bure na bado, kesho utasema huwezi kuingia bungeni, sasa sijui nani aliyekuita au anayekutaka kule
 
Kila kitu kinawezekana siku hizi mbele ya mkuu huyu. Hata lulu utasikia customer care pale ikulu.
 
Mamaafacebook umeamkaje? Leo nimeamka hasubuhi nimekukumbuka ghafla
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu kinawezekana siku hizi mbele ya mkuu huyu. Hata lulu utasikia customer care pale ikulu.

Kweli mwenzangu, kwa serikali ya kikwete tu, maana uko bungeni kuna hadi wa darasa la saba, mionekano tu na pesa ndizo zinawalinda ila kichwani hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…