Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

Labda kazi ya kumfundisha michambo mkulu....manake mdada ana maneno ya shombo sijawahi kuona, na hivi ndo yupo na bi Hindu.....atahitimu elimu ya juu kabisa ya kuchambana....!
 
Anaweza..
Kama wafanyakazi wenyewe ndo akina Clement,wanahonga Bongo movies..
 
dida anatema ung'eng'e huyo alikuwa anafundishwa na dully sykes wakati anachepuka naye
 
Kweli mwenzangu, kwa serikali ya kikwete tu, maana uko bungeni kuna hadi wa darasa la saba, mionekano tu na pesa ndizo zinawalinda ila kichwani hakuna kitu

tanzania tumerogwa aisee
 
Shangaa na wewe, watu wengine bwana, tangu ndoa yake imevunjika tulikuwa hatujamsikia, hii katoa ya kutokea mtaani tena, eti Ikulu! Ikulu ya mwananyamala labda


Sijaelewa kufanya kazi ikulu kivipi? Kuna studio kule?
 
Dah global wachokozi kweli, wakat nasave picha naona wamem save dida eti shangingi dah nimecheka sana kwa kweli

Nilishawahi ona picha moja ya mtoto aliyefariki China na kukaa miezi nane bila kuzikwa wakati naishusha nikakuta imeandikwa kahaba...........hawa watu wabaya
 
Nilishawahi ona picha moja ya mtoto aliyefariki China na kukaa miezi nane bila kuzikwa wakati naishusha nikakuta imeandikwa kahaba...........hawa watu wabaya

AHAhah haha yule bint sijui aliyebakwa hadi kufa wakamtupa? Aahaha inachekesha ila ndo ukweli alikuwa kahaba, hii ya dida kumsevu shangingi nilicheka sana aiseeh dah
 
Me nampenda anajishughulisha....anaishi maisha yake, haishi kuwaimpress wengine....!
Na ile michambo yake...me hoiii....!

Umeona eh...kiroho safii nkim miss naendaga kona ya mwananyamala kumchangia chochote dukan pake
 
Back
Top Bottom