Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

Sijui uko ikulu ambaye anamtaka ni nani, aende kwa lipi kwanza?? Huyu anapenda kuota ndoto za kichawi huyu, mara eti anaenda BBA , sasa kiko wapi
out of topic binadamu nimeona kwenye blog ya bi dada sintah kwenye ,moja ya comments kuwa bi dada aunt ezekiel kapiga picha huko IG Yuko na mheshimiwa mume wa yule miss nasikia bi dada kachambwa huko IG anatumia jina gani
 
out of topic binadamu nimeona kwenye blog ya bi dada sintah kwenye ,moja ya comments kuwa bi dada aunt ezekiel kapiga picha huko IG Yuko na mheshimiwa mume wa yule miss nasikia bi dada kachambwa huko IG anatumia jina gani

Miss gani tena? Ebu nipe hiyo binamu
 
Ataiota Sana ikulu ataiona Kama mkwewe Salam Kwa mbali....
 
Mfupi kama kunguni mwenye viguu kama vya bata nyauba usio refuka
 
Hivi vichwa vya habari vingine utadhani habari za udaku

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘ Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga .

Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini . “Kufanya kazi Ikulu ningeshindwa kwani kuvaa nguo ni kwa sheria , huwezi kujivalia tu , kazi yangu nipo huru naweza kuvaa kitu chochote kile nikajisikia nina amani , lakini Ikulu lazima utinge koti na kuchomekea , ” alisema Dida.
 
Mi ninawasi wasi na akili zake!? Maan nahis hajielew, hajui km anazeeeka au?!
 
Ebu nisaidie kushangaa, nyie huyu dida kashaanza kuchanganyikiwa, ndoa tatu zote zimemshinda mchezo lazima ajiropokeshe ovyo

Kama ndoa zimemshinda anitafute nataka kuongeza mke wa pili.
 
Back
Top Bottom