Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

Labda ikulu ya firauni, hakuna doctar humu amwandikie dawa za kumeza nahisi malaria imempanda kichwani huyu Dida'
 
Hapa ezden kaoa au alisindikiza harusi???? Au kapata wa kumlea tayari????
 

Attachments

  • 1411156871126.jpg
    62.3 KB · Views: 509
teh teh teh, angekuwa na mguu huyu angependeza zaidi..
 
Miguu yenyewe kama sigara zimechomekwa kwenye unga, halafu anajitia mtu wa vimini. Ovyo kweli.
Ova.
 
Kaishiwa na story nae huyu atupishe sie.........

Sijui uko ikulu ambaye anamtaka ni nani, aende kwa lipi kwanza?? Huyu anapenda kuota ndoto za kichawi huyu, mara eti anaenda BBA , sasa kiko wapi
 
Alokuwa mume wa dida apewa A uso ig
 

Attachments

  • 1411283947748.jpg
    96.6 KB · Views: 247
  • 1411283965010.jpg
    81.1 KB · Views: 243
Sijui uko ikulu ambaye anamtaka ni nani, aende kwa lipi kwanza?? Huyu anapenda kuota ndoto za kichawi huyu, mara eti anaenda BBA , sasa kiko wapi

Lol Warumi mwenzio alakua Ana mfurahisha mumewe, aende kwenye BBA kwa style gani hata adabu za kula kwenye meza Hana .....
 
Una hadhi ya kufanya kazi ikulu au unajishaua tu, shule yenyewe umekimbia rumande
Nisaidiwe jamani kwani kufanya kazi ikulu ni kama kunadi samaki feri! sasa huyu dida ataenda kupiga zogo gani kule ikulu!abaki huko huko kunakomruhuhusu kuanika migozi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…