Vimini vyamzuia Dida kufanya kazi Ikulu

Sijui uko ikulu ambaye anamtaka ni nani, aende kwa lipi kwanza?? Huyu anapenda kuota ndoto za kichawi huyu, mara eti anaenda BBA , sasa kiko wapi
out of topic binadamu nimeona kwenye blog ya bi dada sintah kwenye ,moja ya comments kuwa bi dada aunt ezekiel kapiga picha huko IG Yuko na mheshimiwa mume wa yule miss nasikia bi dada kachambwa huko IG anatumia jina gani
 
Miss gani tena? Ebu nipe hiyo binamu
 
Ataiota Sana ikulu ataiona Kama mkwewe Salam Kwa mbali....
 
Mfupi kama kunguni mwenye viguu kama vya bata nyauba usio refuka
 
Hivi vichwa vya habari vingine utadhani habari za udaku

Mi ninawasi wasi na akili zake!? Maan nahis hajielew, hajui km anazeeeka au?!
 
Ebu nisaidie kushangaa, nyie huyu dida kashaanza kuchanganyikiwa, ndoa tatu zote zimemshinda mchezo lazima ajiropokeshe ovyo

Kama ndoa zimemshinda anitafute nataka kuongeza mke wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…