Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Babu mwenye spandex anaua kabsaa!
Umeona msamba ule babu...? acha tu mazee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu mwenye spandex anaua kabsaa!
wewe thank u 4the video. Lakini umewahi kuona sindimba ya ndugu zetu wa Kimakonde. Wewe acha tu.Endelea kuburudika mwanangu.....
YouTube - Twerk Team-@ Transfers Ft Twerk Team Booking 206-736-8586 or 404-200-4831
Hamna kitu hapo siyo kama sindimba. Tena mimi nimeona ile ya wahamiaji tu kule kwetu Zenj. Sijui ile ya kwao kwenyewe inakuwa vipi.acha tu nazipa shule lakini wapi.......sema siku hizi zinanikera wanajifanya watasha sana....yes no kibao sauti kama imo ndani.....yah thts posi ninalotaka....niko nao hapa kama unaweza lianzishe...
nitake radhi mzee wa bird walk........sema niko nao hapa....
kama umezidi 18 check this
YouTube - Broadcast Yourself.
wewe thank u 4the video. Lakini umewahi kuona sindimba ya ndugu zetu wa Kimakonde. Wewe acha tu.
Cupcake....
mkuu yoyo mbona kwangu haifunguki hii kitu vipi tena wananiletea longolongo!!!
Kwa wapenzi wa kuona dances bomba !! Homemade Style !!
Browse Media - Homemade Dancing Videos
au angalia kwa njia hii
Browse Media - Homemade Dancing Videos
Na hapa muangalia Bibisia akileta mambo !!
Werrason Dancer - Bibisia
mkuu sijui kama umeshashutukia site hio ya east african tube ina virus.....kwangu napata warning....angalia
Chingy 2 - Leaders club - G5 world
Ilikuwa kwenye show ya Chingy alipokuja dar.....hapo vinatega back stage......anyway lakini vikali....ila havijui kucheza kudadadeki naona tatizo vitambi vya beer za bure na nyama choma....
Lol wanaJf huyu Enika angekuwa demu wangu kwanza ningemchapa viboko kwa kuchemsha kuvaa alafu naomba likizo miezi 6 kumfundisha kuvaa....damn
![]()
jamani vazi gani hilo....kwa ndani naona kama kavaa kufuli jeusi..kaazi kweri kweri....
![]()
Ebana eeeh....umeona miguu yake?
Lol wanaJf huyu Enika angekuwa demu wangu kwanza ningemchapa viboko kwa kuchemsha kuvaa alafu naomba likizo miezi 6 kumfundisha kuvaa....damn
![]()
jamani vazi gani hilo....kwa ndani naona kama kavaa kufuli jeusi..kaazi kweri kweri....
![]()