Vinara wa magoli ya penalty, Ateba wa Simba aongoza

Umefufuka
 
Wangekuwa hawaongozi ligi ingekuwa haina maana kuongoza kwa magoli ya penalty hata huko duniani Mo salah anaongoza magoli ya penalty na liverpool anaongoza ligi wako ni uchawi uliotamalaki!
 
Breaking News: FIFA yafuta magoli ya penati kwa upande wa ligi kuu Tanzania bara.
Pia FIFA imevionya vilabu ambavyo vinaongoza kwa kufukuza makocha msimu huu.
 
Ina maana Ateba yupo vizuri sana kwenye deadballs. Pongezi zake.wenzake huwa wanakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…