Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Yeah, Ateba anaongoza kwa kufunga penati.Vinara wa magoli ya penalty, Ateba wa Simba aongoza
Lakini kwa kupiga penati, Aziz Ki anaongoza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, Ateba anaongoza kwa kufunga penati.Vinara wa magoli ya penalty, Ateba wa Simba aongoza
Hii ni kanuni ya wapi? 😀kiwastani goli 3 za penalty sawa na goli moja la uwanjani
Kwani penati haipigwi uwanjani?kiwastani goli 3 za penalty sawa na goli moja la uwanjani
Yaaah lkn ni magoli simple sanaNi udhaifu kwa wanaofungwa,inakuaje ufanye faul kwenye box,au ushike mpira alafu uachwe tu,
Ili nifaidike nn mkuuKuanzisha uzi kama huu ni ungese tu na roho ya kujaa gubu ndivyo vimekusukuma ulete huo ujinga
Na hawezi beba ballon d'or kama ana goal nyingi za penaltyHuyo Salah anaepigiwa chapuo kubeba balon d'or anafunga ya penati
Aliona ni waste of energy kufunga penaltyNi kweli kabisa hata aziz ki alifumba macho game ya tabora akafunga!
Wachezaji wa Yanga wanaelewa kua hayo ni magoli ya wadhaifuAzizi kapiga ngapi na kakosea ngap? Kama ni rahis kupiga na kuifunga nadhan angekua anaingia hio list ako
Hapana mkuu...ur wrongYeah, Ateba anaongoza kwa kufunga penati.
Lakini kwa kupiga penati, Aziz Ki anaongoza.
Uchambuzi tu amwa soka....Hii ni kanuni ya wapi? 😀
Hapana that's y Ina kanuni yake special tofauti na mipira mwingine yakutengaKwani penati haipigwi uwanjani?
Keki ya Chasambi
Hataki hata kuzisikiaAziza kapiga penalty ngapi?
Vyema kabisa maana ile penalt ilikuwa ya ku-level score ila kutokana hana ujuzi masalanga wala hakuitema!
Ili ufaidike na ujinga wako
Vipi sherehe, zilifanyika?Hapana that's y Ina kanuni yake special tofauti na mipira mwingine yakutenga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
qmaaamae!!, Aliona magharibi ya nishati kufunga penalty......Si ndo ulivyomaanisha eeeh?
Kweli mkuu ....hata mm ningepiga njeVyema kabisa maana ile penalt ilikuwa ya ku-level score ila kutokana hana ujuzi masalanga wala hakuitema!