Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ooooh.... So kama kuna match team A and B ikatokea team A wana goal 1 na B magoli ma3 ye penalty inakuwa draw?🤣sisi Yanga sometimes. Mi huwa nacheka sana. Manara alikuwa mpumbavu sana na ile kauli yake. Ni kama sasa ndo alituroga.... Halafu goal la penalty ni la kitandani? So matatu 3 sawa na moja la Uwanjani? 🤣🤣🤣 Miaka hii JF imebeba watu wote wamo humu.Kuwa na magoli mengi ya penalty ni udhaifu......coz kiwastani goli 3 za penalty sawa na goli moja la uwanjani
Funga magoli kama ya mzize
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app