Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ooooh.... So kama kuna match team A and B ikatokea team A wana goal 1 na B magoli ma3 ye penalty inakuwa draw?🤣sisi Yanga sometimes. Mi huwa nacheka sana. Manara alikuwa mpumbavu sana na ile kauli yake. Ni kama sasa ndo alituroga.... Halafu goal la penalty ni la kitandani? So matatu 3 sawa na moja la Uwanjani? 🤣🤣🤣 Miaka hii JF imebeba watu wote wamo humu.Kuwa na magoli mengi ya penalty ni udhaifu......coz kiwastani goli 3 za penalty sawa na goli moja la uwanjani
Funga magoli kama ya mzize
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana hii ni kulingana na standard za uchambuzi based on uzito wa magoliOoooh.... So kama kuna match team A and B ikatokea team A wana goal 1 na B magoli ma3 ye penalty inakuwa draw?[emoji1787]sisi Yanga sometimes. Mi huwa nacheka sana. Manara alikuwa mpumbavu sana na ile kauli yake. Ni kama sasa ndo alituroga.... Halafu goal la penalty ni la kitandani? So matatu 3 sawa na moja la Uwanjani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Miaka hii JF imebeba watu wote wamo humu.
Standard zipi we mke wa sele bwenziHapana hii ni kulingana na standard za uchambuzi based on uzito wa magoli
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi jina la TOPOLO Labani og na lile ngara23 ni watu wawili tofauti?Umefufuka
Yule ni kidume .....hawezi kuwa na penalty goalsSele bwenzi ana magoli mangapi ya penalty ukiacha na lile alilomtungua diarra
Ndo nini mkuuHivi jina la TOPOLO Labani og na lile ngara23 ni watu wawili tofauti?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Uje nikufundishe uchambuziStandard zipi we mke wa sele bwenzi
Mke wake ni diarra ?Yule ni kidume .....hawezi kuwa na penalty goals
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kachambue maharage inatosha
Si kweli penalty ni sehemu ya mchezo ila magoli ya mikono ni udhaifu mkubwa mkuu!
Hapana... wanaume always hawapendi penalty goalsMke wake ni diarra ?
Wachambuzi tuna 65% kwenye kukuza maendeleo ya soka la bongoKachambue maharage inatosha
Yaaah lkn ni magoli dhaifu sana .....hata Mimi hata kama ntafumba macho....naweza funga penaltySi kweli penalty ni sehemu ya mchezo ila magoli ya mikono ni udhaifu mkubwa mkuu!
Ni udhaifu kwa wanaofungwa,inakuaje ufanye faul kwenye box,au ushike mpira alafu uachwe tu,
Kuanzisha uzi kama huu ni ungese tu na roho ya kujaa gubu ndivyo vimekusukuma ulete huo ujingaSio muhimu...coz kuifunga magoli ya penalty ni udhaifu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Haina maana yoyoteVinara wa mabao ya Penati katika Ligi Kuu ya Nbc [emoji1241] 2024-25 hadi sasa
View attachment 3234660
Mind u clement mzize Hajawahi piga penalty
NB Je hii Ina maana Gani View attachment 3234314
List ya vinara wa kufumania nyavu
View attachment 3234665
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyo Salah anaepigiwa chapuo kubeba balon d'or anafunga ya penatiKuwa na magoli mengi ya penalty ni udhaifu......coz kiwastani goli 3 za penalty sawa na goli moja la uwanjani
Funga magoli kama ya mzize
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa hata aziz ki alifumba macho game ya tabora akafunga!Yaaah lkn ni magoli dhaifu sana .....hata Mimi hata kama ntafumba macho....naweza funga penalty
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Azizi kapiga ngapi na kakosea ngap? Kama ni rahis kupiga na kuifunga nadhan angekua anaingia hio list akoVinara wa mabao ya Penati katika Ligi Kuu ya Nbc [emoji1241] 2024-25 hadi sasa
View attachment 3234660
Mind u clement mzize Hajawahi piga penalty
NB Je hii Ina maana Gani View attachment 3234314
List ya vinara wa kufumania nyavu
View attachment 3234665
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app