Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni zile za plastic hazina shida ila zile za watu wengine ambazo pia zinauzwa ghali sana hazifai kabisa... Unajipandikiza vinasaba usivyojua asili yake.. Sometimes pengine ni nywele za kichaaVipi kuhusu zile nywele wanazotumia dada zetu kusukia zinamadhara?.nasikia nyingine ni malighafi toka kwa misukule?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]napokea kwa unyenyekevu mkuu asante sanaMkuu,huwa unatoa elimu kubwa sana kwetu sisi ndugu zako...elimu hii hata kama mtu atasoma mpaka Cambridge hawezi funzwa hata irabu zake
Hongera sana Brother!
Mungu azidi kutuepusha tu maana dunia ina mengi yaliyojifichaKama ni zile za plastic hazina shida ila zile za watu wengine ambazo pia zinauzwa ghali sana hazifai kabisa... Unajipandikiza vinasaba usivyojua asili yake.. Sometimes pengine ni nywele za kichaa