Yap, Mkuu Da'Vinci Ni Moja Ya Waandishi Wazuri Hapa Jamii Intelligence.Da'Vinci hata wewe unajua kuandika vizuri mkuu, ile makala yako ya Sananda na genius Da Vinci zilikuwa ni makala bora na elimishi sana.
Huwa huko makini sana ukiacha pombe za kienyeji zile...ukizirudiaga huwa unakuwa na akili kama za Baba swalehe.
mkuu hebu naomba picha ya upepo aliyoichora jamaa kama unayoMkuu umejitahidi kumuelezea jamaa lakini hujamtendea haki Vincent Van Gogh...kumueelezea huyu genius mgonjwa wa akili aliekuwa na uwezo hadi wa kuchora upepo unaovuma na kuuweka kwenye mchoro na muhasisi wa sketch za kuchora kwa rangi za mafuta na ajabu zaidi alifanya kazi zake zote kubwa akiwa na matatizo ya akili (ukichaa) kwenye asylum home yaani kama Mirembe vile, ambapo Dunia imekiri kwamba anaqualify kuingia Kwenye kundi la magenius watano wa uchoraji Duniani wa muda wote akiwemo Leonardo Da Vinci, Michelangelo, Vincent Van Gogh, Raphael, Pablo Picasso.
Sikia hii kwamba sketch yake ya Dr Gatchet ndio mchoro uliouzwa kwa bei kubwa zaidi Duniani wa zaidi ya dola $149m kwa mchoro mmoja tu na ana michoro kibao mingi ikiwemo ule maarufu zaidi wa Starry starry night ambao Bill gate amekubali kuubandika pale nyuma ya Laptop yake huku akiacha nembo yake ya kibiashara ikifunikwa na kufichwa na mchoro wa jamaa...hii ni heshima kubwa sana!
Pia Van Gogh aliwahi kuuza picha moja tu katika maisha yake yote kwa dola 80 kama laki na kitu tu...then sasa hivi mchoro wake mmoja ni trillion za pesa? Nadhani akifufuka anaweza kufa tena kwa mshtuko maana hiyo bei hakuwahi labda hata kuiwaza kama kazi zake zinaweza kuwa na thamani hiyo.
Kihualisia maisha yake yanasikitisha sana na kutoa mafunzo mengi kuhusu maisha. Aliishi katika upweke uliotopea na kaka yake waliopendana kwa dhati hadi kufa wakafa siku zikifuatana na kuzikwa karibu kabisa maana waliacha hayo maelekezo.
Mkuu huyu ana mengi sana...ila hongera kwa kujaribu kumuelezea.
leo naacha rasmi bangi naanza kuleta makala ntaanza na tesla tokea kuwa mcheza kamal maaruf mpka kuwa shujaa na hodar wa physics despite the fact that he suffered nervous break downDa'Vinci hata wewe unajua kuandika vizuri mkuu, ile makala yako ya Sananda na genius Da Vinci zilikuwa ni makala bora na elimishi sana.
Huwa huko makini sana ukiacha pombe za kienyeji zile...ukizirudiaga huwa unakuwa na akili kama za Baba swalehe.
Thanks mkuu Humble naandaa makala moja hivi Mungu akipenda niipandishe Jamvini.Da'Vinci hata wewe unajua kuandika vizuri mkuu, ile makala yako ya Sananda na genius Da Vinci zilikuwa ni makala bora na elimishi sana.
Huwa huko makini sana ukiacha pombe za kienyeji zile...ukizirudiaga huwa unakuwa na akili kama za Baba swalehe.
Hahaaaaaa Naisubir kwa hamu chief. Najianda kisaikolojia kucheka sana..leo naacha rasmi bangi naanza kuleta makala ntaanza na tesla tokea kuwa mcheza kamal maaruf mpka kuwa shujaa na hodar wa physics despite the fact that he suffered nervous break down
Kuwa mwalimu sio lazima uingie darasani hata hapa jf umeshakuwa mwalimu na mimi nishakuwa mwanafunzi wako"Huwa naamini Kazi ya ualimu ni kuyafanya magumu kuwa mepesi" mara nyingi huwa najitahidi kufanya hivi.
Na watu wengi wananiulizaga Kama Mimi ni mwalimu.. Mkuu Mimi sio mwalimu ila napenda sana kuwa mwalimu.. Huwa nafurahi nikiona nimefanya gumu kuwa jepesi na mtu akanielewa that's my pleasure. Bahati mbaya mimi ni janki tu wa mtaani. Just jobless guy!
Nimefurahi kwa compliment yako mkuu. Shukrani sana.
aiseeee usikose kunitag ukiileta hiyo makala ya Tesla duh sipati pichaleo naacha rasmi bangi naanza kuleta makala ntaanza na tesla tokea kuwa mcheza kamal maaruf mpka kuwa shujaa na hodar wa physics despite the fact that he suffered nervous break down
Mkuu nakuheshimu sana na kukuhusudu. Check pm mishale."Huwa naamini Kazi ya ualimu ni kuyafanya magumu kuwa mepesi" mara nyingi huwa najitahidi kufanya hivi.
Na watu wengi wananiulizaga Kama Mimi ni mwalimu.. Mkuu Mimi sio mwalimu ila napenda sana kuwa mwalimu.. Huwa nafurahi nikiona nimefanya gumu kuwa jepesi na mtu akanielewa that's my pleasure. Bahati mbaya mimi ni janki tu wa mtaani. Just jobless guy!
Nimefurahi kwa compliment yako mkuu. Shukrani sana.
@Yaka Licha ya hiyo avatar yako ya kimapinduzi inayoheshimika zaidi afrika na Dunia kunifanya nikuheshimu na kukubali pia socializing ability yako humu JF inanifanya ukubalike kwangu na kwa wana jamii.Mkuu nakuheshimu sana na kukuhusudu. Check pm mishale.
Hakika mtu akiseme avatar nasisimika. This man Capt. Thomas Sankara namhusudu si kawaida. Heaven is my witness.@Yaka Licha ya hiyo avatar yako ya kimapinduzi inayoheshimika zaidi afrika na Dunia kunifanya nikuheshimu na kukubali pia socializing ability yako humu JF inanifanya ukubalike kwangu na kwa wana jamii.
Naitafuta mkuu kwenye maktaba za mtandaoni nione kama nitaipata.mkuu hebu naomba picha ya upepo aliyoichora jamaa kama unayo
okMkuu,
Kumradhi Sana, Nilikopi Kutoka Wikipedia Sikujua Kama Ingejidisplay Kwa Mtindo Wa Kishamba Namna Ile.
Hii sketch ya huyu kichaa ina siri nyingi zilizotunzwa in a cryptographic way ndani ya hiyo sketch.View attachment 812036 da starry night picture
mimi sielewi kitu chochote kwenye huo mchoro. Nifahamishe hata mojaHii sketch ya huyu kichaa ina siri nyingi zilizotunzwa in a cryptographic way ndani ya hiyo sketch.
But all in all sketch hii ilichangia sketch nyingi kuhama kutoka kuwa local hadi modern.
okMkuu,
Kumradhi Sana, Nilikopi Kutoka Wikipedia Sikujua Kama Ingejidisplay Kwa Mtindo Wa Kishamba Namna Ile.
Mkuu Humble,
Nimepokea Challenge Na Nitajaribu Kumleta Huyu Mtu Kwa Mapana Yake Mungu Akijaalia.
Na Wengine Waliobaki Pia Nitatumia Mwanya Huo Kujijenga Zaidi Kwenye Intelijensia Ya Manguli Wa Sanaa Wa Nyakati Hizo.
Iyegu.
Jamii forums watuandalie platform ya podcast au videos kwa ajili ya sisi ambao sio wazuri kwenye kuandikaSalute Humble Afric..
Kama kawaida yako hujawahi kuniangusha kwenye Article zako. Sometimes natamani ningekua wewe yaani you so talented in writting and Describing. Kama ningekua nauwezo kama wako ningeandika mengi sana humu JF basi tu.
Tatizo servers mkuu ndo shida..Jamii forums watuandalie platform ya podcast au videos kwa ajili ya sisi ambao sio wazuri kwenye kuandika