Vincent van Gogh

Vincent van Gogh

Mkuu ukiweza andaa makala ya huyu nguli wa uchoraji utapata faida moja kubwa sanaa.... UTAKUWA UMEFANIKIWA KUWA MWANDISHI WA TAARIFA, UKIJIZOESHA UTAKUWA BORA ZAIDI KATIKA FANI HII YA UANDISHI........
kwa upande wangu ninajua vitu vingi sana kuhusiana na reconaissance artists lakini udhaifu wangu upo kwenye kuandika.. Natamani sana kushare hiki ninachokifahamu bahati mbaya ndo hvyo kinabaki ubongo.... Japokuwa mimi ni mzungumzaji wa kiwango cha juu... So nakupa moyo jitahidi uiandae vyema habari za huyu nguli ili uboreshe uwezo wako wa kuandika information....
I Accepted The Challenge.

Stay Around!
 
Back
Top Bottom