Vinega Wamesanda

KWANZA POLENI NA SAMAHANINI KWA HALI YA
SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA LEO KUTOKANA NA
TAARIFA ZA GHAFLA ZA USULUHISHI KATI YETU
NA RUGE/CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI
WA ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO
KWA NIA NJEMA KABISA...KWANZA NAOMBA
TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO LA LEO NI
USHINDI KWA VINEGA KWA MAANA KWAMBA
MADAI YETU YOTE YA MSINGI NDIO YALIKUWA
MSINGI WA MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI
KUYATEKELEZA YOTE...


Hii ilikuwa siasa tupu wakuuu hamna kilichofanyika
 

Awana Lolote, Harakati Zimewashinda.
 
vinega walijifanya wana msimamo kmbe njaa tu maneno mengi matusi kibao kikwapi....naona mmeona clouds ndy mume wenu hata mfanyaje hamuwawezi....nyambaf
 
Wamesimama kinyonge,afu muangalie Fetty na Mchomvu, yaani kama dhihaka flani hivi....

Ndio ivyo..vijana achaneni na hizi harakati za kibongo..Harakati za kibongo ni ujinga...Wanasiasa na wanaharakati wa kibongo ni disappointment
 
Maskini Jeuri ni msemo tu...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Yoh Yoh Yoh

Daah hii picha inatia huruma sana...

Nikiisikiliza ile album yao ya anti-virus yale matusi na nikiwaona hapo kwenye picha.
Kweli usitukane mamba kabla haujavuka mto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…